FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Ligi ya wehu iyo ilikuwaNamkumbuka saana mshambuliaji hatari wa UJIJI fc yalagwira mkuyumba huyu jamaa aliweka rekodi ya kufunga goli 19 kwenye mechi tatu ligi ya kigoma mjini mwaka 1996
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi ya wehu iyo ilikuwaNamkumbuka saana mshambuliaji hatari wa UJIJI fc yalagwira mkuyumba huyu jamaa aliweka rekodi ya kufunga goli 19 kwenye mechi tatu ligi ya kigoma mjini mwaka 1996
Weka kumbukumbu sawa mwaka wa 1993 almarhumu said mwamba alikuwa bado ni mshambuliaji akisaidiwa na Eddy pamoja na mmachinga so asingeweza kumkaba musisi. Mwaka ambao mwamba alibadilika na kuwa kitasa ni mwaka wa 1998.Baada ya mechi nadhani ilikuwa na wanyarwanda au waganda mpaka half time tumekula thalatha (3)ndo akaona ujinga na kurudi mkoba mpaka tunanyanyua kwapa.Leo tuwakumbuke mafundi wa mpira ambao walikuwa wana uwezo mkubwa sana wakiwa dimbani enzi za uhai wao kabla ya kutangulia mbele ya haki.
Mimi naanza na huyu Said Nassoro Mwamba Kizota. Huyu jamaa mpira aliujua sana ila pia ubabe pia aliumudu mno. Toka anacheza mshambuliaji kisha baadae kurudi kucheza beki.
Enzi anacheza straika mabeki wengi walikuwa wanamuogopa, pia aliporudi kucheza beki, washambuliaji wengi wakawa wanamuogopa. Aliweza kucheza kwa kiwango cha juu sana kwa muda mrefu. Kama hujawahi kumuona enzi za uhai wake, anacheza kama anavyocheza Sergio Ramos.
Alijitengenezea sifa na umaarufu jinsi alivyomudu kumzuia mshambuliaji matata wa miaka hiyo, marehemu Majid Musisi wa Sports Club Villa kwenye klabu bingwa Afrika mashariki pale Kampla mwaka 1993 bila shaka.
Kwako wewe, ni mchezaji gani ulimkubali enzi ya uhai wake?
Huyu mtu wa mwisho alitambulika kama kaiza au mtawala ndio mafundi na waasisi wa mfumo wa libero hawaAlfredo de stefano, Argentina
Mario Kempes, Argentina
Burruchaga, Argentina
Puskas, Hungary zitto junior
Daniel Passarella, Argentina
Beckanbeuer, Germany mashine
Mkuu una akili sana.... Yaani huwezi ongelea legends wa mpira bila kumtaja gwiji huyu wa magoli.Alfredo de stefano, Argentina
Mario Kempes, Argentina
Burruchaga, Argentina
Puskas, Hungary zitto junior
Daniel Passarella, Argentina
Beckanbeuer, Germany mashine
Hao wengine umelazimisha wawe marehemu? Mbona akina Backenbeuer wapo hai mkuuAlfredo de stefano, Argentina
Mario Kempes, Argentina
Burruchaga, Argentina
Puskas, Hungary zitto junior
Daniel Passarella, Argentina
Beckanbeuer, Germany mashine
Hao wengine umelazimisha wawe marehemu? Mbona akina Backenbeuer wapo hai mkuu
Patrice Muamba hakufa ila alistaafu sokaYule mwamba wa Bolton Wonderers ambaye moyo ulisimama kwa dakika( alikufa kwa dakika moja)
Morrison...Leo tuwakumbuke mafundi wa mpira ambao walikuwa wana uwezo mkubwa sana wakiwa dimbani enzi za uhai wao kabla ya kutangulia mbele ya haki.
Mimi naanza na huyu Said Nassoro Mwamba Kizota. Huyu jamaa mpira aliujua sana ila pia ubabe pia aliumudu mno. Toka anacheza mshambuliaji kisha baadae kurudi kucheza beki.
Enzi anacheza straika mabeki wengi walikuwa wanamuogopa, pia aliporudi kucheza beki, washambuliaji wengi wakawa wanamuogopa. Aliweza kucheza kwa kiwango cha juu sana kwa muda mrefu. Kama hujawahi kumuona enzi za uhai wake, anacheza kama anavyocheza Sergio Ramos.
Alijitengenezea sifa na umaarufu jinsi alivyomudu kumzuia mshambuliaji matata wa miaka hiyo, marehemu Majid Musisi wa Sports Club Villa kwenye klabu bingwa Afrika mashariki pale Kampla mwaka 1993 bila shaka.
Kwako wewe, ni mchezaji gani ulimkubali enzi ya uhai wake?
marc vivien foe
Kwani kafa?Morrison...
IYule aliyefia uwanjani anacheza wa Cameroon miaka ile ya naintiini kweusi