SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Halafu yupo hai mpaka sasaHuyu mtu wa mwisho alitambulika kama kaiza au mtawala ndio mafundi na waasisi wa mfumo wa libero hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu yupo hai mpaka sasaHuyu mtu wa mwisho alitambulika kama kaiza au mtawala ndio mafundi na waasisi wa mfumo wa libero hawa
Huyo mjerumani wa mwisho bado hajafariki mpaka sasaAlfredo de stefano, Argentina
Mario Kempes, Argentina
Burruchaga, Argentina
Puskas, Hungary zitto junior
Daniel Passarella, Argentina
Beckanbeuer, Germany mashine
Yaah kaiser yupo ndio wenye buyern yao hao na akin Karl heinz rumminigerHalafu yupo hai mpaka sasa
Hao wengine umelazimisha wawe marehemu? Mbona akina Backenbeuer wapo hai mkuu
Huyo mjerumani wa mwisho bado hajafariki mpaka sasa
LissuLeo tuwakumbuke mafundi wa mpira ambao walikuwa wana uwezo mkubwa sana wakiwa dimbani enzi za uhai wao kabla ya kutangulia mbele ya haki.
Mimi naanza na huyu Said Nassoro Mwamba Kizota. Huyu jamaa mpira aliujua sana ila pia ubabe pia aliumudu mno. Toka anacheza mshambuliaji kisha baadae kurudi kucheza beki.
Enzi anacheza straika mabeki wengi walikuwa wanamuogopa, pia aliporudi kucheza beki, washambuliaji wengi wakawa wanamuogopa. Aliweza kucheza kwa kiwango cha juu sana kwa muda mrefu. Kama hujawahi kumuona enzi za uhai wake, anacheza kama anavyocheza Sergio Ramos.
Alijitengenezea sifa na umaarufu jinsi alivyomudu kumzuia mshambuliaji matata wa miaka hiyo, marehemu Majid Musisi wa Sports Club Villa kwenye klabu bingwa Afrika mashariki pale Kampla mwaka 1993 bila shaka.
Kwako wewe, ni mchezaji gani ulimkubali enzi ya uhai wake?
Ulikuwa kwenye akili yangu mkuu,,Hamis thobias gaga
Hakika mkuu,,Ramadhani Lenny.
Fabrice MuambaYule mwamba wa Bolton Wonderers ambaye moyo ulisimama kwa dakika( alikufa kwa dakika moja)
Sure Alifia uwanjaniHuyu kweli alikuwa kifaa; Marc Vivien Foe!
Huyu naye ni marehemu? Jamaani!!!!Morrison...
Duh sikujua kama Machepe ni marehemu.Nani anamkumbuka Machepe?mtangazaji wa radio Tz alisema haya pale alipofunga Simba against Yanga"Machepe anaichepea Yanga" ... alikuwa na umri mdogo , kipaji kikubwa lakini ndio hivyo mchezaji huyo aliyekuwa kipenzi Simba akapotea na kufariki mapema.