Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Zile chenga zake na mpira wa kutulia. Penati zake alivyokua anazichota

Nilikua nampenda sana,1998 aliiweka brazil kiganjani, aliwafanya kama watoto wake na kanzu za kumwaga kama hana akili, alaf kuna baadhi ya mijitu eti inadai players walipuliziwa dawa ya kuwalewesha, sijui ni kutokusoma ama ni nini!😀😀...tutammis sana zizzo
 
8744
5
 
Ruud van nisterlooy
Roy makaay
Edgar Davis
Raul Gonzalez
Jay jay okocha
Zinadine zidane
 
At human Juma Chamaa aka Jogoo,Mohamed Alkhatib(Egypt), Roger Mills,Abed Pelle, Jay Jay Okocha, Diego Maradona,Pele WA Brazil,
 
Hivi Shehan Rashid hiki kifaa kilipotelea wapi?
 
Shadrack nsajigwa fuso na fred mbuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…