Nilimix madesa buana wee. Ni wa real Madrid atiiii sio wa OT
Huko huko google. Huyo huyo garrincha,msome club alizochedhea. Mwanzo nilimix madesa rite now,I'm very sure na ninachokisema. Kapita juve na Madrid huyoView attachment 496610mkuu huyo Garincha hajawahi kukiputa Madrid....labda km unazungumzia yule Stephen Mapunda Garincha aliyechezea Simba na Real Madrid ya Kolomije
Inaonekana ww ulikuwa mpenzi mkubwa wa kununua bigijiiii za wachezaji
Ubaya ni kwamba pamoja na ufundi wote na kipaji maridhawa alichobarikiwa na Mungu, Garrincha hakuwahi kucheza Ulaya.Huko huko google. Huyo huyo garrincha,msome club alizochedhea. Mwanzo nilimix madesa rite now,I'm very sure na ninachokisema. Kapita juve na Madrid huyo
Fundi wa Kireno...manuel rui costa
Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio wewe ni mnazi wa kutupwa wa Real Madrid na mashabiki wa aina yako hujulikana kama Madridista.Zidane, Ronaldo, Figo, Redondo, Raul, Makelele, Carlos, Salgado, Hierro, Macmannan, Solari, Morientes...
Top scorer wa Uefa Euro 2004. Pia nakumbuka alibeba UCL akiwa na Liver mwaka 2005 katika comeback ya hatari.Mafundi wa soka mbona mnamsahau Milan baros..
Fundi mwingine kaka hua nataman kulia nikiangalia clip zake akiwa Milan..
Ahsante Mussolin5 maana nilikua nashangaa Relato anavyoshadadia kua Garincha aliwahi kukiputa ulaya nadhan ss atakua ameelewaUbaya ni kwamba pamoja na ufundi wote na kipaji maridhawa alichobarikiwa na Mungu, Garrincha hakuwahi kucheza Ulaya.
Ndio maana tuko hapa, tunawekana sawa pale rekodi zinaposahaulika.Ahsante Mussolin5 maana nilikua nashangaa Relato anavyoshadadia kua Garincha aliwahi kukiputa ulaya nadhan ss atakua ameelewa
Aisee we unajuwa mpira,utakuwa Mchambuzi mzuri sanaFaustino Asprilla.
Fundi mwingine kwenye soka, lakini hakudumu sana so hakukitendea haki kipaji chakeJuan Román Riquelme
Ile miguu ilikuwa hatari sana..
Hii rekodi imeshavunjwa?El phenomenon. Ronaldo orijino alipiga goli 47 katka mechi 48 akiwa na Barca msimu mmoja tu.
Aisee kuna Watu huwa mna angalia vingi,yeah huyu Bonan naye ni moja ya mafundi wa mpira niliowahi kuwaona nikiwa na umri mdogo tuSuker aling'aa World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa.
Walishika nafasi ya tatu kama sikosei kulikuwa na fundi wa mpira aliyeitwa Zvonomir Boban jamaa alikuwa analijua kabumbu haswa ndio maana sikushangaa Haruna Moshi alipoiga jina la Boban.
Nimeshalisahau acha nilitafute aisee nijikumbusheUko sahihi kiongozi. Bergkamp pamoja na ufundi wake alikuwa anaogopa kupanda ndege.
Ila lile bao lake dhidi ya Argentina kwenye World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa limebaki kwenye historia ya magoli bora kuwahi kufungwa kwenye WC.
Commentator anakwambia, " Three touches, Control, Turn and Finish " alimwacha Beki Roberto Ayala akishindwa kugeuka.
Haaa haaa haaa,hivi jamaa aliwahi kupewa kadi nyekundu?
Anaitwa Ricardo Izecson dos Santos Leite alimaarufu kama KAKA.
Moja wapo ya wachezaji wenye nidhamu ya hali ya juu kabisa kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka.
Katika timu zote alizochezea amecheza kama kiungo mshambuliaji na mchango wake ulionekana sana, nakumbuka UCL ya 2005 second half, midfield ya Ac millan yote ilipotea ila yeye pekee tu ndio alionekana kuwa hai na isingekuwa schevichenko kupoteza pasi zake mbili za mwisho kwenye extra time yeye ndio angekuwa man of the match wa siku hiyo.
Kwenye fainali ya confederation cup 2009 mimi ni mmoja wapo ya watu waliompa KAKA cheo cha ubrigedia generali wa mpira wa miguu.