Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Hizi takwimu upo sahihi boss,acha nihakikishe idadi ya match
 
Ubaya ni kwamba pamoja na ufundi wote na kipaji maridhawa alichobarikiwa na Mungu, Garrincha hakuwahi kucheza Ulaya.
Pengine kweli kwa upande wako,acha niamini ninachokijua. Baki uamini unachokijua pia
 
Ninge tamani kuwaona Eric Cantona,Thienry Henry, Zinedine Zidane,Ronaldo De Lima, Paul Scholes,David Beckam, Makerere Claud,Lilian Thuram,Kaka Ricardo,Paolo Maldin,Ruud Van Nistelrooy,Edger Davies,Nedved Pavel,Gaucho na Super Austin Jay Jay Okocha he was soo good that they named him twice,waliyafanya maisha yangu kuwa ya furaha kila nilipo watazama
 
Steven nemes, Mohamed mwameja, Saidi mwamba, hussein masha, zamoyoni mogella, malota soma, twalib hilal, rifat said, dua said, Damian kimti, George masatu, fumo felician, Abdallah kibaden, fikirini magoso, Raphael Paul, madaraka suleiman, method mogella, iddi pazi, Peter tino, gebo Peter, isihaka majaliwa, rosta ndunguru, Hamis kinye, Juma pondamali, Fred minziro,
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Mnamjua Puskas fundi kutoka Hungary mpaka Leo tuzo goli bora fifa inaitwa Puskas award's,
Pia kuna fundi kutoka USSR kipa
Lev yashin.....
Kwa hapa Tanzania sijaona kama abdalah kibadeni
Siku hizi vijana wanabebwa na Media na sheria 17 zinawalinda Sana
 

 
kuna Ronaldo de lima....Edson arantes dos Nascimento almaarufu Pele kuna Diego Armando maradona ......roberto carlos.....luis figo.....Rivaldo.....Josep Guardiola.....Rivaldo....Johan Cruyf(RIP).......Ferrenc Puskas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…