Newfame
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 485
- 1,134
Hizi takwimu upo sahihi boss,acha nihakikishe idadi ya matchPia alipokuwa PSV Eindhoven msimu wake wa kwanza kabla hajapata injury alipiga goli 12 kati ya game 13, vile vile aliporudi msimu wa pili akiwa fiti alifunga goli 54 kati ya mechi 58 alizocheza msimu mzima.
Hata alipochukua tuzo ya pichich akiwa na barca alifunga goli 34 kati ya mechi 37 alizocheze za laliga.
Timu ya Taifa ya brazil ana goli 62 kati ya mechi 98 alizochezea.
Ebana kuna watu walizaliwa kufunga acha tu, sio akina geroud wanaocheza dakika 700+ alafu goli 5 tu.