Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Ni sawa na kuuliza ni mchezaji gani wa Bayern Munich anaweza kupata namba Arsenal...

Wanaojua soka wamenielewa...

Ni hatari kulinganisha timu ya kimataifa na ya mchangani...

Thread ingeleta mantiki kama ungeuliza ni wachezaji gani wa IHEFU wanaweza kupata nafasi YANGA.
 
Heri ya mwaka mpya wanamichezo!

Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
Muulize huyu jamaa....
JamiiForums-1732913099.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom