Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Kwa kuangalia tu utagundua Uto ina wachezaji wengi overweight kuelekea obese. Wanatosha kwa mechi za Dodoma Jiji, n.k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ina maanisha kwamba uwepo wa GSM pale jangwani hauna faida yeyote zaidi ya kujinufaisha yeye binafsiNadhani ni mudi tu wachezaji hawana Labda bosi wao tu.
Hivi vitimbwi vyote vimetokana na ushindi wa jana, afu timu yenyewe dodoma jijiNdo maana mpira wa bongo huwa naangalia nikikosa tu mishe za kufanya maana sio kwa vituko hivi [emoji23].
Nimeshangazwa sana, kwamba Simba ambayo ipo hatua ya makundi ya CC haina mchezaji anayeweza kuingia kwenye first eleven ya timu ya mchangani. [emoji23]Hivi vitimwi vyote vimetokana na ushindi wa jana, afu timu yenyewe dodoma jiji
Wakati wa kufurahi yanga mara nyingi huwaga katika awamu nneYanga ni wakati wao wa kufurahi..Sisi Simba tuliyaishi hayo kwa miaka minne mtawalia..kuimba kupokezana!
Yanga hata kama wakiambiwa wapewe uwezo wa kumfunga simba kila mechi ila kwa condition moja tu hawachukui ubingwa, yanga watakubali kwasababu wana dhana moja wanaitumia kama comfort "mabingwa wa kihistoria"Nimeshangazwa sana, kwamba Simba ambayo ipo hatua ya makundi ya CC haina mchezaji anayeweza kuingia kwenye first eleven ya timu ya mchangani. [emoji23]
Umejibu kikubwa sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ni sawa na kuuliza ni mchezaji gani wa Bayern Munich anaweza kupata namba Arsenal...
Wanaojua soka wamenielewa...
Ni hatari kulinganisha timu ya kimataifa na ya mchangani...
Hakuna!Heri ya mwaka mpya wanamichezo!
Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
Huyu huyu anayefungwa magoli ya umbali wa mita 35! Ataweza kweli kumuweka sub huyu dogolasi mpya aliyetokea Mtibwa Sugar?Manula
Atamuweka nani sub huyu mzee mwenzangu? Yannick Bangala! Bakary Mwamnyeto! Dickson Job!! Tungekuwa na mabeki wenye kiwango kama cha Pascal Wawa, Kennedy Juma, nk ningekubalina na wewe.Ni Joash Onyango Achieng.
GSM ni moja ya wadhamini wa ligi kuuHiyo ina maanisha kwamba uwepo wa GSM pale jangwani hauna faida yeyote zaidi ya kujinufaisha yeye binafsi
Klabu kubwa kwa wapi? Hii hii iliyofurumushwa na wabotswana wacheza makhirikhiri?Wachezaji wa klabu kubwa kama simba hawawezi kuchezea klabu isiyo na malengo, klabu inayojali zaidi mechi ya tamasha kuliko mechi ya klabu bingwa.
Sasa mbona unalia lia kila siku kuhusu yanga? Team ndogo lakini bado inakuuma sana, ndugu zako ahly ahly si wapo? mchezaji kule kawekwa beki 😁Yanga hata kama wakiambiwa wapewe uwezo wa kumfunga simba kila mechi ila kwa condition moja tu hawachukui ubingwa, yanga watakubali kwasababu wana dhana moja wanaitumia kama comfort "mabingwa wa kihistoria"
Kwa hiyo hata kama watakosa ubingwa mara 20 mfululizo wao hawajali watatumia hilo neno hapo juu kama backup
Manula
Yap na pass ya 701 anapiga ndefu na kukufungaPasi 700 afu zote zinapigwa kwenye eneo lao
Dodoma jiji simba alimfunga ngapi?Hivi vitimwi vyote vimetokana na ushindi wa jana, afu timu yenyewe dodoma jiji
Hili swali hua hawataki kabisa kuliskia. Hua wanatukana sana.Dodoma jiji simba alimfunga ngapi?
Usiishie kusema mdhamini kuna watu wanafatilia huu uzi na wengine wanatoka nchi tofauti na tanzania, unapozungumzia swala la udhamini jaribu kuambatanisha na hilo dau alilowekaGSM ni moja ya wadhamini wa ligi kuu
wakati kanjibhai analalamika anapata hasara kila siku 😁😁
Unazungumzia ile mechi tuliyocheza kwenye kichuguu?Dodoma jiji simba alimfunga ngapi?