Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Wewe anus una hoja za kujamba tu,miaka minne utopolo amefanya nini cha maana?
Haya ndio madhara ya kuzaliwa kwenye tigo na wazazi wako.
unakurupuka wala huelewi, utakuja ku mirindiwa
 
Kiujumla ni kuwa unawashwa tu
Man City anashiriki UEFA lakini bado hapuuzii ligi kuu

lakini wewe kolo mmoja huna hata uwanja unadai ligi kuu ni tamasha, kwanza malengo gani hayo mnayosema kila mwaka na hayaonekani?
Sio ligi wewe liutopolo.Klabu lako lilijiandaa zaidi na tamasha la siku yawananchi kuliko kujiandaaa dhidi ya rivers utd.
 
Usiishie kusema mdhamini kuna watu wanafatilia huu uzi na wengine wanatoka nchi tofauti na tanzania, unapozungumzia swala la udhamini jaribu kuambatanisha na hilo dau aliloweka

Wadau na wafatiliaji wa kutoka nchi zingine wanaweza kushtuka waka perceieve huo udhamini kwa angle kubwa ambayo inafanyika na wadhamini wa nchi zao wakaona jamaa katoa kibunda kumbe hela yenyewe imetoka kwenye kidosho

Hiyo hela ya udhamini hata vikoba vya huku mtaani vyenye watu 20 vina uwrzonwa kuimudu, hii nisawa na kugawa pipi kwa yatima halafu unawapiga sana mapicha kujionesha umewasaidia huku ukificha thamani ya msaada uliyotoa
Mudi ametoa bei gani ya udhamini tuanzie hapa.
 
Sio ligi wewe liutopolo.Klabu lako lilijiandaa zaidi na tamasha la siku yawananchi kuliko kujiandaaa dhidi ya rivers utd.
haya wabotswana makhirikhiri walipowafurumusha kwa kipigo cha mbwa mwizi. mpka huko shirikisho shida yenu ilikuwa nini?
 
Yanga ni wakati wao wa kufurahi..Sisi Simba tuliyaishi hayo kwa miaka minne mtawalia..kuimba kupokezana!
Hapa umeongea kisoka!! Ukweli ni kwamba, mwaka huu hata kama Simba atachukua ubingwa bado Yanga pia alikuwa ana-deserve ubingwa! Lakini kama miaka 3 hadi 4 nyuma Yanga angechukua ubingwa basi tungechukua ubingwa bila ku-deserve ubingwa! Na miaka 3-4 nyuma ndipo nilipo-conclude kwamba ligi yetu ni nyepesi sana manake hatukustahili hata kushika hiyo nafasi ya 2; na pale tuliposhika nafasi ya 2 basi ilibidi tuipate kwa mbinde lakini haikuwa hivyo!
 
haya wabotswana makhirikhiri walipowafurumusha kwa kipigo cha mbwa mwizi. mpka huko shirikisho shida yenu ilikuwa nini?
Shida ni kwamba huu ni msimu mbaya kwetu ila tunashiriki shirikisho. Msimu mzuri najua unajua huwa tunakuwaje. Ila kwa utopolo kuongoza ligi tu ni msimu mzuri. Hakika luc hakukosea.
 
Ndo maana mpira wa bongo huwa naangalia nikikosa tu mishe za kufanya maana sio kwa vituko hivi [emoji23].
From mikia wanajulikana. Wanajifanyaga kuikana ligi yao tu wakishikwa makalioni
 
Shida ni kwamba huu ni msimu mbaya kwetu ila tunashiriki shirikisho. Msimu mzuri najua unajua huwa tunakuwaje. Ila kwa utopolo kuongoza ligi tu ni msimu mzuri. Hakika luc hakukosea.
Kwanza hakuna siku mliyowahi kuwa vizuri, ni vile hapa kati kati tulitetereka
hakika rage hakukosea
 
Hapa umeongea kisoka!! Ukweli ni kwamba, mwaka huu hata kama Simba atachukua ubingwa bado Yanga pia alikuwa ana-deserve ubingwa! Lakini kama miaka 3 hadi 4 nyuma Yanga angechukua ubingwa basi tungechukua ubingwa bila ku-deserve ubingwa! Na miaka 3-4 nyuma ndipo nilipo-conclude kwamba ligi yetu ni nyepesi sana manake hatukustahili hata kushika hiyo nafasi ya 2; na pale tuliposhika nafasi ya 2 basi ilibidi tuipate kwa mbinde lakini haikuwa hivyo!
Ukiangalia mechi za Yanga za miaka ya nyuma 3_4 ivi, utacheka sana. Yaan ilikuwa papatu papatu, butua butya ilimradi tu. Ndo maana jina utopolo likaibuka.
 
Back
Top Bottom