Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Jibu hili apa
FB_IMG_16411072963160269.jpg
 
Magazeti ambayo yalimpamba Yikpe Nyamiee?

Ujinga mtupu, kinachowasumbua mashabiki wa Yanga ni kutoona mambo haya kwa muda mrefu zaidi, na ubingwa hawachukui.
Kumbuka hili sio gazeti la yanga.....ni mwanaspot
 
Huna akili wewe, mkataba wa jezi Yanga kama timu inapata kiasi cha sh. 1,300/= tu.

GSM ndiyo anachukua pesa nyingi, timu za simba na Yanga bado haziingizi faida badala yake zinajiendesha kwa hasara tu.
Ndo maana nasema kuruta hujawahi kuwa na akili umezoea kuswagwa kama mfugo.
Haya 1300/ jezi zinauzwa ngapi kila siku nchi nzima? Au unadhani kwa siku jezi inauzwa moja?

Kwa akili kama hizi zako hujui kuwa kwanini kina azam na MO wanauza juice 500/ unadhani wanapata hasara?
 
Magazeti ambayo yalimpamba Yikpe Nyamiee?

Ujinga mtupu, kinachowasumbua mashabiki wa Yanga ni kutoona mambo haya kwa muda mrefu zaidi, na ubingwa hawachukui.
Kumbe umejawa wivu mtupu na hasira kama andazi liljlovimba kwa hamira.

Uzuri mnaendelea kujifariji kwenye kijiwe chenu cha mabwege
 
Kumbuka hili sio gazeti la yanga.....ni mwanaspot

Mwanaspot yenye waandishi na wahariri
Uto lia lia.Tangu wameanza kuwasifia mmeshafika hatua gani kimataifa na hizo sifa za gazeti?
 
Hakuna mwana Simba yoyote kwa Sasa anayetamani kukutana na Yanga, kuanzia MO mbaka mfua jezi wa timu. Hii Yanga itainyanyasa Sana Simba msimu huu.
Kwa mara ya Kwanza nimeiona Simba Ina paki basi dhidi ya Yanga, yaa ni Kagere ana anza kukabia katikati ya uwanja timu yote ime paki nyuma lakini bado onyango na Manura walikua wakipoteana.
 
Aya kakojoe ukalale sasa tume kusikia.
 
Back
Top Bottom