Ukweli ni kwamba tulikuwa kwenye hali ngumu!! Eti mastraika wetu ni pamoja na akina Yikpe na Molinga bila kumsahau Mapinduzi Balama!! Huyo Molinga alivyokuwaga na nyodo kwa kujiona top straika sasa 😂😂😂Ukiangalia mechi za Yanga za miaka ya nyuma 3_4 ivi, utacheka sana. Yaan ilikuwa papatu papatu, butua butya ilimradi tu. Ndo maana jina utopolo likaibuka.