Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Sasa mbona unalia lia kila siku kuhusu yanga? Team ndogo lakini bado inakuuma sana, ndugu zako ahly ahly si wapo? mchezaji kule kawekwa beki 😁
Mchezaji kuwekwa beki ni jambo la kufurahia kuwa na mchezaji mwenye multtalent

Miqson hata ukipa usikute anauweza kuliko hata didier
 
GSM ni moja ya wadhamini wa ligi kuu
wakati kanjibhai analalamika anapata hasara kila siku 😁😁
We inaonekana mgeni, hukumsikia hersi juzi kati naye analalamika kuwa anapata hasara?
 
Pasi 700 afu zote zinapigwa kwenye eneo lao
Ndio hivyo mkuu afu wamefunga goli 20 mpaka sasa! Kama pasi za nyuma zinafunga magoli mengi hivi acha wapige tu
 
Nimeshangazwa sana, kwamba Simba ambayo ipo hatua ya makundi ya CC haina mchezaji anayeweza kuingia kwenye first eleven ya timu ya mchangani. [emoji23]
Ipi ligi ya walemavu walioshindwa kupambana vya kutosha.
 
-Manula vs Djui, Manula[emoji736]
-Kapombe vs Djuma, Kapombe[emoji736]
-Tsabalala vs Mustafa/Kibwana/Brayson, Tshablala[emoji736]
-Job vs Enock Baka, Enock Baka[emoji736]
-Onyango Vs Mwamnyeto, Onyango[emoji736]
-Mkude Vs Khalid, Mkude(nungunungu anapiga pasi wewe acha masihara)[emoji736]
-Morrison vs Farid/Sogne/Saido, Morrison (all day everyday)[emoji736]
-Moloko Vs Kibu, Kibu[emoji736]
-Kagere Vs Fiston mayele, Kagere[emoji736]. Utakuwa mjinga kumchagua mayele dhidi ya kagere angalia stats i.e. goals/minutes played.
Pablo Vs Nabi, Pablo[emoji736]

Wachezaji wa yanga wataobaki ikiwa utachukua combined squad ya Yanga na Simba ni hawa hapa
-Feisal anawin kwa Sakho/Bwalya
- Bangala vs Sadio Kanoute, Bangala[emoji736] (Ila akirudi Lwanga aliye majeruhi Bangala atasubiri)

takwimu zinasemaje!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umeua sisimizi kwa nyundo mkuu
 
simba wapo shirikisho africa, ni ya 12 katika caf rankings. level ya simba ni kina alhaly acheni kujisahaulisha. mnakisa heshima sababu tupo nchi moja
 
Ndio hivyo mkuu afu wamefunga goli 20 mpaka sasa! Kama pasi za nyuma zinafunga magoli mengi hivi acha wapige tu
Goli 20 ilikua lazima zifike maana siku hizi hata refa pia ana assist
 
Malengo ya klabu na aina ya mashindano klabu inayoshiriki ndio ukubwa wa klabu. Sasa klabu inajiandaa zaidi na tamasha kuliko mechi ya klabu bingwa, sasa hiyo nayo utaita klabu kubwa?
Kiujumla ni kuwa unawashwa tu
Man City anashiriki UEFA lakini bado hapuuzii ligi kuu

lakini wewe kolo mmoja huna hata uwanja unadai ligi kuu ni tamasha, kwanza malengo gani hayo mnayosema kila mwaka na hayaonekani?
 
Ukiwa umevimbiwa dona la maharagwe unaweza kuamua tu kusema; HAKUNA MCHEZAJI WA AL AHLY ATAPATA NAMBA YANGA.

Yanga bado timu isiyo na exposure wala experience kimataifa kuizidi hata Namungo ya Ruangwa kwa Majaliwa.
ahly alhy wameingiaje hapa haya ndio madhara ya kuwa kuruta.

huo ndio ukweli hakuna mchezaji wa simba atapata namba yanga hata sub
 
Hakuna we kama tu kutoa sare wanashangilia Hadi leo hawaamini nani ataweza penya kwenye hilo kosi linalopiga pasi 700 kwa gemu Moja
Kilichowafanya msipige hizo pasi mlipokutana na wale wanaijeria ni nini?
 
Kiujumla ni kuwa unawashwa tu
Man City anashiriki UEFA lakini bado hapuuzii ligi kuu

lakini wewe kolo mmoja huna hata uwanja unadai ligi kuu ni tamasha, kwanza malengo gani hayo mnayosema kila mwaka na hayaonekani?
Wewe anus una hoja za kujamba tu,miaka minne utopolo amefanya nini cha maana?
 
-Manula vs Djui, Manula[emoji736]
-Kapombe vs Djuma, Kapombe[emoji736]
-Tsabalala vs Mustafa/Kibwana/Brayson, Tshablala[emoji736]
-Job vs Enock Baka, Enock Baka[emoji736]
-Onyango Vs Mwamnyeto, Onyango[emoji736]
-Mkude Vs Khalid, Mkude(nungunungu anapiga pasi wewe acha masihara)[emoji736]
-Morrison vs Farid/Sogne/Saido, Morrison (all day everyday)[emoji736]
-Moloko Vs Kibu, Kibu[emoji736]
-Kagere Vs Fiston mayele, Kagere[emoji736]. Utakuwa mjinga kumchagua mayele dhidi ya kagere angalia stats i.e. goals/minutes played.
Pablo Vs Nabi, Pablo[emoji736]

Wachezaji wa yanga wataobaki ikiwa utachukua combined squad ya Yanga na Simba ni hawa hapa
-Feisal anawin kwa Sakho/Bwalya
- Bangala vs Sadio Kanoute, Bangala[emoji736] (Ila akirudi Lwanga aliye majeruhi Bangala atasubiri)

takwimu zinasemaje!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umeandika kama hauna kichwa
 
simba wapo shirikisho africa, ni ya 12 katika caf rankings. level ya simba ni kina alhaly acheni kujisahaulisha. mnakisa heshima sababu tupo nchi moja
Ahly ahly wanacheza CAF nyie chezeni na kina mimosas na gor mahia.
 
Back
Top Bottom