Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

Utopolo hawa
FB_IMG_1680843893679.jpg
 
Huu ni upuuzi tu yaani wachezaji walioshindwa kucheza klabu bingwa ufananishe na wale wanaocheza klabu bingwa katika level ya juu kabisa....

MANARA AJENGEWE MNARA WAKE,KWA UTAMBUZI WA KIWA PALE YANGA HAWANA AKILI TIMAMU
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema Kwa Kila nikiangalia kikosi Cha wachezaji wa 5imba wanavyocheza nasema hamna mchezaji hata mmoja wa 5imba anaeweza kuingia first eleven ya yanga na ikibidi hata benchi sioni mchezaji wa simba akikaa benchi aisee hii timu inacheza kama WALEVI yaani yanaenda enda tu kama mazombi ndio maana yalipigwa 5 aisee kiufupi Kwa hili soka la tanzania yanga atabeba ubingwa mara 10 mfulilizo na hii naisema serious nimeshamaliza kuchambua tanzania hamna timu ya kupambana na yanga
 
Utolopo aka viura,wanalunyasi wanasjindwa kuwaelewa et ohh!!
1.Simba ni timu mbovu ila kila muda zianzishwa mada za kuizunguzia simba?
2.Mwaka jana wanautopolo waliimba ooh hakuna hata mchezaji mmoja anaweza kucheza yanga ila sasa wapo wachezaji wangapi wanao chezea utopolo na walitokea simba sc?
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema Kwa Kila nikiangalia kikosi Cha wachezaji wa 5imba wanavyocheza nasema hamna mchezaji hata mmoja wa 5imba anaeweza kuingia first eleven ya yanga na ikibidi hata benchi sioni mchezaji wa simba akikaa benchi aisee hii timu inacheza kama WALEVI yaani yanaenda enda tu kama mazombi ndio maana yalipigwa 5 aisee kiufupi Kwa hili soka la tanzania yanga atabeba ubingwa mara 10 mfulilizo na hii naisema serious nimeshamaliza kuchambua tanzania hamna timu ya kupambana na yanga
Nikiwa na kama shabiki, maanachama na mwanaSIMBA umesema kweli tupu.

Na HII tukiijua itatusaidia
 
Mwaka 2024
Chama first eleven.....Yanga
Fredi...................................USM Alger
Kanute...........................Js Kabylie
Barbakar........... Sar Js Kabylie
Innonga...........As Far Rabat
Onana...........Al-Hilal Benghaz
.........
Gwede........... Singida United
Romalisa....... As Lupopo

Mwenye macho haambiwi tizama.
 
Chama sio first eleven Yanga.

Kolo hilo unalifahamu vizuri sana ila unajitoa ufahamu.

Kama Chama ni first eleven tuambie anamuweka nani benchi?

Ukiona Chama kaanza ujue profesa Gamondi hajaipa umuhimu hiyo mechi.
 
Bench warmer aka squad player.
 
Heri ya mwaka mpya wanamichezo!

Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
Che Malone Fondoh kwa Dickson Job/ Mwanyeto.
Debra Fernandez kwa Duke Abuya/ Mudathir Yahya.
 
Che Malone Fondoh kwa Dickson Job/ Mwanyeto.
Debra Fernandez kwa Duke Abuya/ Mudathir Yahya.
mana anaingia hapo. malone hata mwanyeto amkalishi benchi. beki ana leak magori kibao. last season na beki bora wa Congo kala 5. kuwa serious.

Deborah hata pasi nzuri awezi. ni mkata kuni tu . swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom