Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Form is temporary, class is permanent. Bila shaka ume maanisha hivyo.Ni sawa na kuuliza ni mchezaji gani wa Bayern Munich anaweza kupata namba Arsenal...
Wanaojua soka wamenielewa...
Ni hatari kulinganisha timu ya kimataifa na ya mchangani...
Muulize huyu jamaa....Heri ya mwaka mpya wanamichezo!
Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
Inategemea umeangalia wapiHayupo
Utakuwa una matatizo ya machoSioni mchezaji hata mmoja wa Makolo kukaa hata kwenye sub ya Yanga
Pasi 700 afu zote zinapigwa kwenye eneo laoHakuna we kama tu kutoa sare wanashangilia Hadi leo hawaamini nani ataweza penya kwenye hilo kosi linalopiga pasi 700 kwa gemu Moja
Hadhi ya manula ni kubwa sana, unapomuongelea manula uwe unazungumzia mada za kina Jan oblak na watu kama AlissonManula