Mchezaji kutokea Colombia anayetarajiwa kusajiliwa na Simba ni Galasa wa kutupa

Umesema ukweli ndugu ubarikiwe, maan kuna wafia timu hapa wanatamani hat kunipiga makofi baad ya kuuanika ujinga unaoendelea.
 
we umejuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafanikio ya mwiko nyuma ni kupiku simba rank za Caf na sio kuchukua ubingwa wa CAFCL au CAFC?
Ili kuonekana umekuwa Giant ni lazima Kupanda ranking na sio kubeba tu kombe mara moja na kuludi katk form ya kawaida,

kubeba kombe linaweza kutokea tu kwa yoyote hata Leicester alishafanya hivyo ila shida inakuja kwenye Kutengeneza Continuously Winning Form na kutengeneza Top class team hapo ndo shida inapoanzia,

Ukifanikiwa tu kubeba kombe alafu ukaingia mitini hata kwenye ranking za vilabu Top ten haupo,... hapo ni sawa tu na umebahatisha kama Leicester.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Simba janja janja nyingi sana. Naombea wamlete tu alafu tuzid kupoteza. Kuwa Giants of africa tunahtaj watu kwel kwel
 
Nipe rank ya berkane na mazembe hapa afrika
 
Ligi ya Colombia ndo unalinganisha na ya Tz
Kwahyo ukiwa ligi gumu ndo mshambuliaji inabidi usifunge utoke na Magoli 2 tu katka mechi 22 kwasababu Ligi ni gumu sana ?? Aisee we jamaa umeanza kufatilia mpira ukiwa na umri gani ? Au ulimuachia simu mtoto ndo akaandika hivi
 
Tuonyeshe ushahid wa hilo usemalo, pia hata kama ni Winga basi nionyeshe Rekodi zake za Assist maana kwa rekodi zilizopo huyo mtu hana Assist hata moja msimu huu


Source

Ana goli 2 assist 3.

Na sio Kila winga role yake ni kutoa assist Kuna aina nyingi za wachezaji wanaotumika mifumo tofauti tofauti.
 
Hahaaaaa, umeandika kwa kutia huruma sana bro.
 
Kwahyo mkuu kwa Mtu kufunga magoli 2 na assist 3 katika mechi 22 wewe unaona ni kawaida kabsa Na unahisi anaweza kuisaidia timu kubeba kombe ? Sasa si bora ya Ntibazonkiza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…