Ni kweli bado hajasajiliwa ila Simba wametuma ofa ya kumnunua mazungumzo bado yanaendelea kwa pande zote mbili,
Kuhus kwamba sio striker, basi tunakuomba ulete ushahidi wako wa kuonyesha nafasi sahihi ya huyo mchezaji, maan mm nmeweka ushahidi wa Source ya kuaminika kabsa ya Wikipedia na wew leta yako.
Umesema kuhus kuingia Wikipedia na kumuongezea au kumpunguzia takwimu basi jaribu kufanya hivyo kam ni rahisi kias hicho, na kingne ni mtanzania gani aatanza kuhangaika kufeki data za Mchezaji wa Ligi daraja la pili la huko Peru ?
Ukiangalia hizo data za Wikipedia inaonyesha mwisho wa Kuwekwa ilikuwa July mwaka huu kipindi hicho hata Tetesi za kusajiliwa kwake hazikuwepo na hata Simba yenyewe ilikuwa haijatuma ofa yoyote kwake.