Mchezaji kutokea Colombia anayetarajiwa kusajiliwa na Simba ni Galasa wa kutupa

Umbumbumbu ni kipaji, haelimiki
 
UTOPOLO FC shida yao kuona Simba anasajili wachezaji wa rank za chini na sio za juu kama Colombia nk.

Hakuna mchezaji aliyesajiliwa simba utopolo wakamkubali.
 
Inakera kwakweli. Halafu Okrah huyoooo kwa Watopolo. Akifanya vizuri huko sura zetu sijui tutazificha wapi tu.
 
Hii sasa ndo shida ya mashabiki wa Simba na Yanga watu ukweli hawapendagi kabsa kuuskia.
Ulichokiandika wala sio ukweli bali ni ujuaji wako tu wa kawaida wakibongo,wa kila mtu kujifanya anajua kila kitu.mchezaji ata hajafika umeshasema ni gharasa kisa tu umeangalia uko mitandaoni.
 
Unataka wachezaji wakubwa wakuleta mabadiliko bongo hii hii yenye ujinga mwingi hivi.utasubiri sana.hao wanaokuja ndio level zetu kwa sasa.tena hapo tumepiga hatua kubwa mno.tushukuru ata kwa hao wanaokubali kuja kucheza uku kwenye ligi yetu ya timu mbili na viwanja vibovu na marefa wa mchongo plus tiiiiiifufuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…