Yanga wana hazina kubwa ya wapumbavuMkuu acha hila. Nakumbuka Andy Cole mwaka 95 ila sikumbuki timu waliyocheza nayo alifunga goli 5 peke yake katika ushindi wa goli 9.
Kwahiyo sio wa kwanza na wala sio ajabu. Tuache negativity kwa kila jambo.
Nendeni mkashitaki FIFAsio dhambi lakini yafungwe wakati zimebaki mechi 2
Kwa vile hamna akilisio kutuuma ni kushangaza
Ukikuta Uto anajielewa mkatie rufaaaUtopolo mna matatizo ya kisaikolojia sio bure
Ila sometimes jamaa ni chenga sanaUnamuamini huyo, shauri yako.
we kweli kilaza mkuu ... kipi kipya chini ya jua?Utopolo wanajifariji...!
Duh....Eti wametolewa Kikanuni...!
Kanuni Zimewashtukiza hawakuzijua...!
Ingekuwa ni Kosa Kubwa Sana Limefanyika Uto Kuchukua Kombe lolote Afrika Kabla Ya Simba..!
Na ilivyo hapa Tz, Jambo Lolote linalohusu Soka Lazima Simba ianze halafu Yanga ifuatie..!
Baadhi ya mambo Ambayo Yanga Wanajaribu kuiga:
1. Kuendesha Timu kwa Mfumo wa Ubia
2. Ujenzi Wa Uwanja Wa Timu(Tayali Simba Wanao huko Boko kwa Maandalizi ya timu imebaki Kuuboresha kwa Majukwaa na Vinginevyo)
3. Wiki ya Simba
4.Kucheza Fainali kombe la CAF
Mwakani msahau kufika huko, hamtapangiwa tena Zalani,Marumo,Bamako,Rivers na Maganda ya ndizi ya Kiarabu Monastir,Africain na USMA wachovu.!
Mtoto akilia wembe mpeTumempa alichoomba.View attachment 2648700View attachment 2648701
Mbona Polisi wetu na rushwa, ni sawa tu na pete na kidole! Haihitaji hata uthibitisho.Unawatuhumu jeshi la polisi Kwa rushwa? Unaweza thibitisha??
Kipindi mayele anawania kiatu mwaka jana,kila mchezaji alikuwa anampa pasi mayele ili mradi afunge tuu,hata tuta moja dhidi ya dodoma nahisi alipewa apige tena saido huyo huyo,alimpokonya mpira djuma shaban mpiga penati akampa mpira mayele,mwisho wa siku mayele akapaisha,mpira mpaka leo haujawahi kurudi duniani,sjui ulienda mars huko,au ile umesahau??Bodi ya ligi walipaswa watoe taarifa sahihi Kwanini mechi hazikuchezwa muda sawa?, Kwamba hawakuhofia upangaji ww matokeo?, Kwamba walijua polisi atafungwa?.
Hii ni aibu sana, sishangai Saido kufunga gori 5 tena kwa timu inayoshuka daraja kilichonishangaza ni ratiba kubadilika!!. Timu yenye malengo hujukita kwenye malengo ya taasisi na ukiona timu ipo busy kwa mchezaji mmoja mmoja basi jua haina muelekeo.
Huu sio ushabiki wa mpira ni udhalilishaji. Endelea na hiyo tabia halafu acha pm wazi uone balaa lake.Tumempa alichoomba.View attachment 2648700View attachment 2648701
Yeye mwenyewe aliomba hivyo wewe ni nani kumkatalia ombi lake? UsikurupukeHuu sio ushabiki wa mpira ni udhalilishaji. Endelea na hiyo tabia halafu acha pm wazi uone balaa lake.
ndo kashafunga sasaEti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? Yote ni nini? Kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
View attachment 2648354
Aibu tupu.