Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

Mwisho ni magoli mangapi kwa mechi moja?
 
Mkuu acha hila. Nakumbuka Andy Cole mwaka 95 ila sikumbuki timu waliyocheza nayo alifunga goli 5 peke yake katika ushindi wa goli 9.
Kwahiyo sio wa kwanza na wala sio ajabu. Tuache negativity kwa kila jambo.
Yanga wana hazina kubwa ya wapumbavu
 
sio kutuuma ni kushangaza
Kwa vile hamna akili
FB_IMG_1682646171032.jpg
 
Utopolo wanajifariji...!

Duh....Eti wametolewa Kikanuni...!

Kanuni Zimewashtukiza hawakuzijua...!

Ingekuwa ni Kosa Kubwa Sana Limefanyika Uto Kuchukua Kombe lolote Afrika Kabla Ya Simba..!

Na ilivyo hapa Tz, Jambo Lolote linalohusu Soka Lazima Simba ianze halafu Yanga ifuatie..!
Baadhi ya mambo Ambayo Yanga Wanajaribu kuiga:

1. Kuendesha Timu kwa Mfumo wa Ubia
2. Ujenzi Wa Uwanja Wa Timu(Tayali Simba Wanao huko Boko kwa Maandalizi ya timu imebaki Kuuboresha kwa Majukwaa na Vinginevyo)
3. Wiki ya Simba
4.Kucheza Fainali kombe la CAF

Mwakani msahau kufika huko, hamtapangiwa tena Zalani,Marumo,Bamako,Rivers na Maganda ya ndizi ya Kiarabu Monastir,Africain na USMA wachovu.!
we kweli kilaza mkuu ... kipi kipya chini ya jua?
 
Kupata kishangazo na vituko,bonyeza soka Simba soka Tz
 
Bodi ya ligi walipaswa watoe taarifa sahihi Kwanini mechi hazikuchezwa muda sawa?, Kwamba hawakuhofia upangaji ww matokeo?, Kwamba walijua polisi atafungwa?.

Hii ni aibu sana, sishangai Saido kufunga gori 5 tena kwa timu inayoshuka daraja kilichonishangaza ni ratiba kubadilika!!. Timu yenye malengo hujukita kwenye malengo ya taasisi na ukiona timu ipo busy kwa mchezaji mmoja mmoja basi jua haina muelekeo.
Kipindi mayele anawania kiatu mwaka jana,kila mchezaji alikuwa anampa pasi mayele ili mradi afunge tuu,hata tuta moja dhidi ya dodoma nahisi alipewa apige tena saido huyo huyo,alimpokonya mpira djuma shaban mpiga penati akampa mpira mayele,mwisho wa siku mayele akapaisha,mpira mpaka leo haujawahi kurudi duniani,sjui ulienda mars huko,au ile umesahau??
 
Back
Top Bottom