Yaani aibuu sanaaaEti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? Yote ni nini? Kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
View attachment 2648354
Aibu tupu.
Mmekwishaaa...
Yeye mwenyewe aliomba hivyo wewe ni nani kumkatalia ombi lake? UsikurupukeView attachment 2648784
Tumempa alichoomba.View attachment 2648700View attachment 2648701
Kumbe mnateseka kiasi hiki?Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? Yote ni nini? Kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
View attachment 2648354
Aibu tupu.
Mipango ya kishamba kama hiyo ndio inayorudisha nyuma soka letu. Tunarudi nyuma tena kwa watu wasio wa mpira kupanga mipango ya kishamba sana hii. Tena magoli rahisi sana. Mechi inayofuata wanacheza na coast,dada mtu na dada mdogo. Hapo ndio dada mdogo anaweza akawa anaacha tu wazi bila kujizuia,ili afunge hata ma4.
Coastal bado wako kwenye hatari ya kuingia kwenye playoffs kwa hiyo nao wanahitaji ushindi. Ila Mayele asipocheza kabisa hata kuwepo benchi, Saido itamrahisishia kazi zaidi. Atatupia zake mbili halafu Simba watamtoa apewe standing ovation.Una wajua Tanzania prison?? Alie kwambia wameshuka daraja nani ? Match ya kujipigia ni ya simba wanao cheza na Costal union hawa ni ndugu lazima Saidi aji pigie tu wata ungana hadi na costal kumpa pass side
Pisi hiiTumempa alichoomba.View attachment 2648700View attachment 2648701
Kweli mkuu, mama atawaita ikulu.Ha ha ha ha ha Acha Wivu.
Nasemaje!!
Na sisi tunapata nafasi ya kuparedi
Kwani aliyefungwa anasemajeEti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? Yote ni nini? Kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
View attachment 2648354
Aibu tupu.
Mmevurugwaa hadi hurumaa yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tumevurugwa???
acha ulipyoto jibu hoja hiyo kama huna hoja acha kujamba
sana hasa ukizingatia mambo yafuatayo:mechi zimebaki 2 na alikuwa anazidiwa goli 6 na mayeleKwaiyo ni tukio la aibu saido kufunga goli5?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
katika mazingira yepi?Halaand alifunga goli 8 mechi 1
Ronaldo
Messi
Washatupia hizo 5 mara kibao tena UEFA
huo mtego tutaunasua kijanjaCoastal bado wako kwenye hatari ya kuingia kwenye playoffs kwa hiyo nao wanahitaji ushindi. Ila Mayele asipocheza kabisa hata kuwepo benchi, Saido itamrahisishia kazi zaidi. Atatupia zake mbili halafu Simba watamtoa apewe standing ovation.
Mayele akicheza halafu atake kukimbizana na Saido mnahatarisha kujeruhiwa mumkose mechi ya Azam, kwa hiyo uchaguzi ni wenu. Pia mkicheza mpira wa nguvu kadi zinaweza kuwahusu mkazidi kupoteza wachezaji wenu. Mtego huu.
Tena wamevurugwa sio kidogoUtopolooooo mmevurugwaa hadi baas khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh
sasa hiyo ndio sawa na mtu mmoja kufunga goli 5?Kipindi mayele anawania kiatu mwaka jana,kila mchezaji alikuwa anampa pasi mayele ili mradi afunge tuu,hata tuta moja dhidi ya dodoma nahisi alipewa apige tena saido huyo huyo,alimpokonya mpira djuma shaban mpiga penati akampa mpira mayele,mwisho wa siku mayele akapaisha,mpira mpaka leo haujawahi kurudi duniani,sjui ulienda mars huko,au ile umesahau??
huo mpango hatunaNendeni mkashitaki FIFA