Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

Mipango ya kishamba kama hiyo ndio inayorudisha nyuma soka letu. Tunarudi nyuma tena kwa watu wasio wa mpira kupanga mipango ya kishamba sana hii. Tena magoli rahisi sana. Mechi inayofuata wanacheza na coast,dada mtu na dada mdogo. Hapo ndio dada mdogo anaweza akawa anaacha tu wazi bila kujizuia,ili afunge hata ma4.
Una wajua Tanzania prison?? Alie kwambia wameshuka daraja nani ? Match ya kujipigia ni ya simba wanao cheza na Costal union hawa ni ndugu lazima Saidi aji pigie tu wata ungana hadi na costal kumpa pass side
Coastal bado wako kwenye hatari ya kuingia kwenye playoffs kwa hiyo nao wanahitaji ushindi. Ila Mayele asipocheza kabisa hata kuwepo benchi, Saido itamrahisishia kazi zaidi. Atatupia zake mbili halafu Simba watamtoa apewe standing ovation.

Mayele akicheza halafu atake kukimbizana na Saido mnahatarisha kujeruhiwa mumkose mechi ya Azam, kwa hiyo uchaguzi ni wenu. Pia mkicheza mpira wa nguvu kadi zinaweza kuwahusu mkazidi kupoteza wachezaji wenu. Mtego huu.
 
huo mtego tutaunasua kijanja
 
Kipindi mayele anawania kiatu mwaka jana,kila mchezaji alikuwa anampa pasi mayele ili mradi afunge tuu,hata tuta moja dhidi ya dodoma nahisi alipewa apige tena saido huyo huyo,alimpokonya mpira djuma shaban mpiga penati akampa mpira mayele,mwisho wa siku mayele akapaisha,mpira mpaka leo haujawahi kurudi duniani,sjui ulienda mars huko,au ile umesahau??
sasa hiyo ndio sawa na mtu mmoja kufunga goli 5?
 
Back
Top Bottom