Mchezaji wa Baroka FC Abdi Banda afunga ndoa na dada wa mkali wa Bongo Fleva Alikiba

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Mchezaji anayekipiga klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' pia aliyewahi kuzichezea Simba SC na Coastal Union ya Tanga Abdi Banda, alfajiri ya leo Agosti 1, 2018 amefunga ndoa na Bi Zabibu Kiba, ambaye ni dada wa mkali wa Bongo Fleva Ali Kiba kwenye msikiti wa Ahmad Al-Maseeid uliopo Tabata jijini Dar es salaam.
 
Last edited:
rekebisha hapo, sio mkali wa bongo fleva bali mchezaji wa coastal union Ali Salehe.
 
Naona makaka wa Bo.Harusi wamekenua kwa maaana ya kucheka na kufurahi. Wahenga wa kwetu wanasema ni fedheha kaka mtu kufurahia kuolewa kwa dadake... ila kwa kizazi cha fesibuku huenda ni sawa ila wale wahenga mwendo wa mkaushoo tuuuuu, kinachokufurahisha nini? Dadako kwenda kupigwa nanihiiiino au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…