Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mchezaji anayekipiga klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' pia aliyewahi kuzichezea Simba SC na Coastal Union ya Tanga Abdi Banda, alfajiri ya leo Agosti 1, 2018 amefunga ndoa na Bi Zabibu Kiba, ambaye ni dada wa mkali wa Bongo Fleva Ali Kiba kwenye msikiti wa Ahmad Al-Maseeid uliopo Tabata jijini Dar es salaam.
Last edited: