Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

Prenup ndio nn...inapatikanaje?
 
Kumwandika jina mkeo ktk mali zako huo ni ujinga wa chuo kikuu. Mwandike mtoto ako, au mzazi wako kwisha kama huna mtoto
 
Kumwandika jina mkeo ktk mali zako huo ni ujinga wa chuo kikuu. Mwandike mtoto ako, au mzazi wako kwisha kama huna mtoto
Haya mambo hayana formula. Una mwandika mzazi, mzazi naye anaandika urithi kwa mtoto mwingine. Mzazi akikata moto, dogo anadai urithi wake.
Hata kumwandika mtoto siyo salama. Kuna mdingi mmoja alimwandika mtoto kama mmiliki wa nyumba yao ya familia. Mtoto akazinyaka. Alipofikisha miaka 18 akatangaza kuuza nyumba. Wazazi wakakimbilia mahakamani kuzia nyumba isiuzwe. Mahakama ikasema 'mwenye nyumba ana haki ya kuuza nyumba yake'. Mtoto akauza nyumba, hakuwapa hata senti wazazi wake.
 
Prenup ndio nn...inapatikanaje?
Prenup(pre nuptials agreement) ni makubaliano wanayoingia watu wawili wanaotaka kuoana kabla ya ndoa kuhusu mgawanyo wa Mali (chini ya wanasheria wao) ikitokea huko mbele ndoa imeshindwa kuendelea na wanataka kutalikiana.mara nyingi mwenye Mali nyingi anaweka vigezo vyake anampa mwenzake asome then akikubali anasaini ndio wanafunga ndoa Sasa.
 
sidhani alifanya hivyo kwasababu ya mapenzi bali policies za SA kuhusu wageni.
mgeni huruhusiwi kununua gari nyumba etc so ukiwa na mpenzi wako utatumia jina lake kununua hivyo vitu na nahisi ndicho alichofanya huyo jamaa huyu jamaa.
Ulianza kuandika ujinga huu.....
Then Toxic Concotion akakuweka sawa
dingi bila pepa uwezi nunua gari wala nyumba labda unataka kuweka ligi
Nilipokuelimisha zaidi kuhusu SA, sasa umekuja na kituko hiki!!

Ndio nikahitimisha hii ni mental case.

Adios Amigo.
 
Sio mbaya kama ametoka hai...pesa atatafuta zingine mwenye kipaji si yeye apige kazi mpaka demu akimaliza kula hizo amtafute tena..........
 
Daa dogo mwehu kweli kauza nyumba ambayo hata hakujenga....
 
😅😅😅Mnapigwa kotekote ukisimama unayo ukikaa unayo ukilala unayo pia Safi Sana,,
 
Ulianza kuandika ujinga huu.....

Then Toxic Concotion akakuweka sawa

Nilipokuelimisha zaidi kuhusu SA, sasa umekuja na kituko hiki!!

Ndio nikahitimisha hii ni mental case.

Adios Amigo.
Ujanielimisha na bado NINAKUKUMBUSHA kuwa bila pepa uwezi nunua gari wala nyumba.
uliingia SA kwa kuruka fensi na hayo ndiyo yakawa maisha yako hata kununua vitu ulitumia njia chafu.
uwezi nunua nyumba ama gari bila kuwa na permit ila unaweza nunua second hand stuffs such as car, bike etc.
 
Ulianza kuandika ujinga huu.....

Then Toxic Concotion akakuweka sawa

Nilipokuelimisha zaidi kuhusu SA, sasa umekuja na kituko hiki!!

Ndio nikahitimisha hii ni mental case.

Adios Amigo.
we dingi kiazi kweli.
yaan utoke uko namtumbo ufike Port Elizabeth ununue nyumba na gari bila permit, kweli?.
🤣🤣🤣
 
Mental case.
look at this fool, ignorance is bliss indeed. Continue fooling yourself, a mad man will never agree that he is mad but everyone around him knows that he is mad, such is your case. continue wallowing in your lunatic illusions by yourself.
 
we dingi kiazi kweli.
yaan utoke uko namtumbo ufike Port Elizabeth ununue nyumba na gari bila permit, kweli?.
🤣🤣🤣
My son, ukitaja mji mdogo kama Port Elizabeth kwa wanaoijuwa vizuri South Africa hapa ni kwamba tunadebate na school boy.

Tufanye umeshinda na wewe unajuwa zaidi kuliko sisi Baba zako ambao tumempigia kura Mandela kuingia madarakani mwaka 1994.

Are you happy now? Declare ur victory wewe ni mwamba unajuwa sana.

Tunapoongelea Tanzania mtu akakutajia Songea inabidi umuache tu.
 
UWEZI NUNUA GARI MPYA AMA NYUMBA BILA KUWA NA PERMIT.

hayo mengine ngoja niyaache.
 
😅😅😅Mnapigwa kotekote ukisimama unayo ukikaa unayo ukilala unayo pia Safi Sana,,
Dhuruma huwa haina manufaa ya kudumu, ya muda tu. Mara nyingi wanawake wa hivyo huishia kudhurumiwa na hata kuawa na wale wanaowaamini. Ndiyo maana kuna ongezeko la habari za wamama matajiri wajane kuuliwa na boyfriend wao kisa mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…