political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Bora asuse tuu....Yani jamaa kabaguliwa lakini hakuna attention yoyote aliyopewa ila imetokèa kwa vinicius dunia nzima iko upande wake
Ujakutana na racism wewe usiongee ivyo ulishawai kutemewa mate,kutupiwa ndizi? Ulishawai kupanda basi baada ya kuingia wewe kila mtu anaziba pumzi kuwa unanuka? Ulishawai kufuatwa na kundi la watu wakitaka kujua iyo ngozi ni yako au umepaka oil? Tena wanakugusa kabisa..Mimi nawashangaa sana Waafrika walio wengi.
Mwafrika mweusi aki itwa mweusi anakasirika amebaguliwa.
Sasa wanataka waitwe weupe ?
Watu wakiimba Nyani Nyani unakasika kwani wewe ni Nyani ?
Kwani Nyani ana shida gani ?
Ubaguzi unakuzwa na Waafrika Waafrika wenyewe.
Wewe unacheza mpira watu wanaimba Nyani Nyani, wewe unakasikirika nini?
Kwani wewe ni Nyani hadi ukasirike?
Wewe cheza mpira kuimba kupo tu siku zote kwa mashabiki.
Unaitwa mweusi unasema umebaguliwa, unataka wakuite mweupe?
Waafrika wanajibagua wenyewe kabisa kabisa.
Halafu ndio wahubiri wakuu wa haki za binadamu.Mchezaji wa Valencia, Mouctar Diakhaby alikataa kusimama nyuma ya bango jipya la LaLiga la kupinga ubaguzi wa rangi linalosomeka "Wabaguzi wa rangi, waondoke kwenye soka", kabla ya mechi yao dhidi ya Mallorca.
Ikumbukwe Diakhaby raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 26 alikutana na vitendo vya ubaguzi wa rangi katika mechi dhidi ya Cádiz mwaka 2021, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
View attachment 2635221
Spain is probably the most racist country in the world.Hawa jamaa n hovyo Sana wanadharau Sana ngoz nyeus yaaan
KabisaTusioona shida ya ubaguzi ni sisi ambao hatujawahi kuvuka hata mtukula
Huo sio ubaguzi ni uhalifu kama uhalifu mwingine, mtu akikutemea mate ndio anakubagua? nenda kashataki Polisi.Ujakutana na racism wewe usiongee ivyo ulishawai kutemewa mate,kutupiwa ndizi? Ulishawai kupanda basi baada ya kuingia wewe kila mtu anaziba pumzi kuwa unanuka? Ulishawai kufuatwa na kundi la watu wakitaka kujua iyo ngozi ni yako au umepaka oil? Tena wanakugusa kabisa..
Sema waafrika hatuna ubaguzi...kuna wakati huwa nawatafakari sana wabaguzi wa rangi, inaonekana Wana inferiority complex, wanadhani rangi ndo Ina determine mtu kuwa bora na sio ubongo wa mtuHivi wakituita Nyani, na sisi tukawaita Nguruwe, SHIDA NINI?
Tuache maigizo, hao kenge hawawezi kuacha hiyo kasumba, kwani hawafanyi kwa bahati mbaya.
Twende nao sawa tu, MONKEYS VS PIGS.