Mchezaji wa Valencia, Mouctar Diakhaby agoma kusimama nyuma ya bango la kupinga ubaguzi la liga

Mchezaji wa Valencia, Mouctar Diakhaby agoma kusimama nyuma ya bango la kupinga ubaguzi la liga

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Mchezaji wa Valencia, Mouctar Diakhaby alikataa kusimama nyuma ya bango jipya la LaLiga la kupinga ubaguzi wa rangi linalosomeka "Wabaguzi wa rangi, waondoke kwenye soka", kabla ya mechi yao dhidi ya Mallorca.

Ikumbukwe Diakhaby raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 26 alikutana na vitendo vya ubaguzi wa rangi katika mechi dhidi ya Cádiz mwaka 2021, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.

1685090109962.jpg
 
Nakumbuka wakati tuko A level kuna mwanangu alikua ni mweusi kama mpingo, sasa tukawa tunamuita... Mweusi, akawa anamaindi kinoma, siku moja mwenzetu kimasihara a kamuita mtu mweusi almanusura wazichape.

Nikamwambia vitu vingine ni kujiendekeza, kwanini asijivunie mweusi wake, mbona fulani ni mrefu tunamuita mudi toll, ama fulani tunamuita white na hang'aki.
Ukichukulia hivyo lita kuwa hivyo.

Hili suala la ubaguzi wa rangi naona kuna agenda nyuma yake na sisi waafrika bila kujua tunaenda kichwa kichwa, we kweli ni mweusi sasa unataka uitwe cheupe, si vituko hivi..
Kuna kipindi Dani alves alirushiwa ndizi akakata akaila(japo ile ilikua Imeandaliw inavyosemekana) lakini inapaswa kwenda nao hivyo, mtu akiona anakukashifu halafu ww hubabaiki, yeye ndiye atakejisikia vibaya.
 
Sema tu wa-Africa na umaskini wetu unatuumiza sana.

Tungekuwa na jeuri pale kinapotokea kitendo cha kibaguzi tu hapo hapo mchezaji anavunja mkataba hakuna club ingeacha kuwaasa mashabiki wake waache ubaguzi maana wanawahitaji sana hao wachezaji,kinatuumiza sisi njaa tena nyengine zinasababishwa na wanasiasa waliojiteuwa kujifanya kutuongoza.
 
Mimi nawashangaa sana Waafrika walio wengi.
Mwafrika mweusi aki itwa mweusi anakasirika amebaguliwa.

Sasa wanataka waitwe weupe ?

Watu wakiimba Nyani Nyani unakasika kwani wewe ni Nyani ?
Kwani Nyani ana shida gani ?

Ubaguzi unakuzwa na Waafrika Waafrika wenyewe.

Wewe unacheza mpira watu wanaimba Nyani Nyani, wewe unakasikirika nini?
Kwani wewe ni Nyani hadi ukasirike?

Wewe cheza mpira kuimba kupo tu siku zote kwa mashabiki.

Unaitwa mweusi unasema umebaguliwa, unataka wakuite mweupe?

Waafrika wanajibagua wenyewe kabisa kabisa.
 
Ujakutana na racism wewe usiongee ivyo ulishawai kutemewa mate,kutupiwa ndizi? Ulishawai kupanda basi baada ya kuingia wewe kila mtu anaziba pumzi kuwa unanuka? Ulishawai kufuatwa na kundi la watu wakitaka kujua iyo ngozi ni yako au umepaka oil? Tena wanakugusa kabisa..
 
Mchezaji wa Valencia, Mouctar Diakhaby alikataa kusimama nyuma ya bango jipya la LaLiga la kupinga ubaguzi wa rangi linalosomeka "Wabaguzi wa rangi, waondoke kwenye soka", kabla ya mechi yao dhidi ya Mallorca.

Ikumbukwe Diakhaby raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 26 alikutana na vitendo vya ubaguzi wa rangi katika mechi dhidi ya Cádiz mwaka 2021, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.

View attachment 2635221
Halafu ndio wahubiri wakuu wa haki za binadamu.
 
Ujakutana na racism wewe usiongee ivyo ulishawai kutemewa mate,kutupiwa ndizi? Ulishawai kupanda basi baada ya kuingia wewe kila mtu anaziba pumzi kuwa unanuka? Ulishawai kufuatwa na kundi la watu wakitaka kujua iyo ngozi ni yako au umepaka oil? Tena wanakugusa kabisa..
Huo sio ubaguzi ni uhalifu kama uhalifu mwingine, mtu akikutemea mate ndio anakubagua? nenda kashataki Polisi.
Uhalifu upo dunia nzima.
Waafrika wengi wanaichukia rangi yao
 
Hivi wakituita Nyani, na sisi tukawaita Nguruwe, SHIDA NINI?
Tuache maigizo, hao kenge hawawezi kuacha hiyo kasumba, kwani hawafanyi kwa bahati mbaya.

Twende nao sawa tu, MONKEYS VS PIGS.
Sema waafrika hatuna ubaguzi...kuna wakati huwa nawatafakari sana wabaguzi wa rangi, inaonekana Wana inferiority complex, wanadhani rangi ndo Ina determine mtu kuwa bora na sio ubongo wa mtu
 
Back
Top Bottom