political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Mchezaji wa Valencia, Mouctar Diakhaby alikataa kusimama nyuma ya bango jipya la LaLiga la kupinga ubaguzi wa rangi linalosomeka "Wabaguzi wa rangi, waondoke kwenye soka", kabla ya mechi yao dhidi ya Mallorca.
Ikumbukwe Diakhaby raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 26 alikutana na vitendo vya ubaguzi wa rangi katika mechi dhidi ya Cádiz mwaka 2021, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
Ikumbukwe Diakhaby raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 26 alikutana na vitendo vya ubaguzi wa rangi katika mechi dhidi ya Cádiz mwaka 2021, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.