Wengine wanasilimu kufuata "Mungu". Ambacho ni kitu kizuri mtu kuamua kuifuata imani ya kweli kwake.hata mimi ntakuja kusilimu ili tu nioe wake wa 4
kila mmoja ana sababu yake ya kusilimu yaweza kuwa mapenzi, ahadi ya vinono, wake wa 4, kumiliki mali na mengineyo
টNi haki yake kuamini kile anachokiona kina mfaa
Kwahyo wote wanaobadili dini kutoka dini moja kwenda nyengine huwa inatokana na post career depression sio,kama unaushahidi usio na shaka yoyote kuwa jamaa kasilimu sababu ya hyo depression share nasi mkuu.Mi naona ni haki yake kuamini kile anachokiona kina mfaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku hebu ona kitakachomkuta huyu Mwana 'Yesu'Kwa YESU KRISTO kila goti litapigwa...
Aisee naona jamaa nliyemkoti karekebisha/karekebishiwa comment yake kuna mistari haipo,kama ni yeye mwenyewe hongera zake,cha kushangaza naona na mie comment yangu imeeditiwa na sijui nani kaedit Aya ya mwisho haipo.Ni haki yake kuamini kile anachokiona kina mfaa
Kwahyo wote wanaobadili dini kutoka dini moja kwenda nyengine huwa inatokana na post career depression sio,kama unaushahidi usio na shaka yoyote kuwa jamaa kasilimu sababu ya hyo depression share nasi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Allah hana haja na mali zetu na hata hivyo, mwisho mwema ndiwo unaobeba mustakbal wa mja kupata radhi ZAKEWamasilimu uzeeni baada ya kula ujana ukristuni.
Mumeo amesitiri wanawake wangapi?Sababu nzuri sana hiyo kwani utakuwa umesilimu na umejisitiri nq zinaa na umesitiri wanawake wanne.
Tunakutakia kila la heri na usisilimu kwa kushinikizwa ila kwa sababu zako mwenyewe, zozote zile.
Nadhan ni kwa vile umembatiza dini ya ukristo 1kwa1 kwa sababu tu umeona jamaa anaitwa Patrick ndo ukasema kalia ujana ukristoni jila kujua kwamba aweza kuwa dini yoyote mbali na hyoPoint yako ni nini hapa?
Mungu? acha utani basiWengine wanasilimu kufuata "Mungu". Ambacho ni kitu kizuri mtu kuamua kuifuata imani ya kweli kwake.
Sio vieira huyo kwakweliMadam umeniangusha sana. Baada ya kuangalia hiyo clip vizuri mimi kama mshabiki kindakindaki wa Arsenal tena nilianza angalia Arsenal kitambo, huyo sio Viera.
usiwe unaparamia maeneo ambayo sio yako, unajishusha!
Kuna mateja kibao waislamu wapo pale kwa mnyamani na kwa alimaua!Sababu nzuri sana hiyo kwani utakuwa umesilimu na umejisitiri nq zinaa na umesitiri wanawake wanne.
Tunakutakia kila la heri na usisilimu kwa kushinikizwa ila kwa sababu zako mwenyewe, zozote zile.
Ajuza kakimbilia mbiiio kuja kupost akidhani Pat kasilimu kweli, hajui watoto wa mitandao wanataka viewers. Vieira ameshapoteza nywele zake za mbele, ana kiparaSis wana arsenal tunasema huyo sio vieira ,
Acheni upotoshaji
Dini haisambazwi kwa upotoshaji,
Dini ya haki itawavutia watu bila kutumika uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataraji kupata mume bibi?Huyu mwingine,mchezaji wa Arsenal ameiona NURU ya Uislam, sifahamu jina lake...
Kila goti litapigwa kwa Baba sio kwa mtotoKwa YESU KRISTO kila goti litapigwa...