Mchezaji wa zamani timu ya ARSENAL na taifa la UFARANSA PATRIC VIEIRA asilimu na kuwa muislami...... TAKBIRRRR

Mchezaji wa zamani timu ya ARSENAL na taifa la UFARANSA PATRIC VIEIRA asilimu na kuwa muislami...... TAKBIRRRR

Ni haki yake kuamini kile anachokiona kina mfaa
Kwahyo wote wanaobadili dini kutoka dini moja kwenda nyengine huwa inatokana na post career depression sio,kama unaushahidi usio na shaka yoyote kuwa jamaa kasilimu sababu ya hyo depression share nasi mkuu.Mi naona ni haki yake kuamini kile anachokiona kina mfaa.



Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bi mkubwa unamjua Viera au umekurupuka embu angalia tena hiyo video then u come na udini wako
 
M
Kwa YESU KRISTO kila goti litapigwa...
Mwisho wa siku hebu ona kitakachomkuta huyu Mwana 'Yesu'

28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.
1 Wakorintho 15:28

Hivyo, sote (pamoja na Yesu) tutatiishwa chini ya Mungu.
 
Ni haki yake kuamini kile anachokiona kina mfaa
Kwahyo wote wanaobadili dini kutoka dini moja kwenda nyengine huwa inatokana na post career depression sio,kama unaushahidi usio na shaka yoyote kuwa jamaa kasilimu sababu ya hyo depression share nasi mkuu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee naona jamaa nliyemkoti karekebisha/karekebishiwa comment yake kuna mistari haipo,kama ni yeye mwenyewe hongera zake,cha kushangaza naona na mie comment yangu imeeditiwa na sijui nani kaedit Aya ya mwisho haipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu nzuri sana hiyo kwani utakuwa umesilimu na umejisitiri nq zinaa na umesitiri wanawake wanne.

Tunakutakia kila la heri na usisilimu kwa kushinikizwa ila kwa sababu zako mwenyewe, zozote zile.
Mumeo amesitiri wanawake wangapi?
 
1547284061146.png
 
Sababu nzuri sana hiyo kwani utakuwa umesilimu na umejisitiri nq zinaa na umesitiri wanawake wanne.

Tunakutakia kila la heri na usisilimu kwa kushinikizwa ila kwa sababu zako mwenyewe, zozote zile.
Kuna mateja kibao waislamu wapo pale kwa mnyamani na kwa alimaua!
You must be proud of them too, dont you?
 
Sis wana arsenal tunasema huyo sio vieira ,

Acheni upotoshaji

Dini haisambazwi kwa upotoshaji,

Dini ya haki itawavutia watu bila kutumika uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajuza kakimbilia mbiiio kuja kupost akidhani Pat kasilimu kweli, hajui watoto wa mitandao wanataka viewers. Vieira ameshapoteza nywele zake za mbele, ana kipara
 
Back
Top Bottom