Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,562
- 3,715
Kila mtu katika makuzi yake kuna michezo ilikuwa ni ngumu kuacha ata baadhi imeweka alama katika miili yetu,
Mfano, mpira, karata, katagoli, rede, mdako n.k
Kombolela ni mchezo wakujificha alafu unatafutwa,nilikuwa napenda kujificha na kasichana flani sehemu moja tulivu sana.
Watatafuta mpaka wachoke wenyewe tumetulia tunafanya yetu.
Unakumbuka michezo gani ambayo ulikuwa tayari unyimwe chakula lakini sio kuacha kucheza?