Mchezo Mchafu: Kuna kina mama huwatuma mabinti kuingia vyumba vya wapangaji wa kiume, fumanizi la video hufanyika ni aidha utoe pesa ama unaenda jela

Dah[emoji23]
 
"Uswahilini kuna vituo! hivi ni vituko kutoka uswahilini"!!
 
Ni mnyukano tu wa kisheria, binti wa miaka 16 ni mtu mzima anajua anachokifanya na mwili wake kimakuzi unawaka tamaa. Sasa kwa nini aingie chumbani kwa kijana wa kiume wanayekaribiana umri, anataka nini kama si kunyanduliwa no matter ni mwanafunzi? Vijana wa kiume wanaopanga wawe waangalifu sana kuruhusu wanawake wa umri wowote kuingia vyumbani mwao nyakati zote, wengine hawana nia nzuri, nina exprience na vitina hizo. Wakiingia wewe toka, ukibaki na mwanamke ndani huku nje watajua tu umemlamla hata kama hukufanya. Kwanza wanatia hasara kwa kuchukua chochote cha kula kama sukari, chumvi, mboga, unga, mkaa, mikate, sabuni na wanakula msosi uliojiandalia kwa bajeti ndogo ya kwako tu halafu unaishia kubambikiwa kashfa ya kumlamla
 
NA WAKUU WA WILAYA WAMEKOSA KAZI MAOFISI...SIKU HIZI WAMEJIINGIZA KWENYE UMBEA NA UDAKU NA MAFUMANIZI...

UPUMBAVU TU. NIMEANZA KUELEWA KWANINI WATU WALIKUWA WANASISITIZA HIVI VYEO VIFUTWE.
eti wakuu wa wilaya nao wamejiingiza kwenye mitego ya mafumanizi, wanasema ushahidi wa kamera wanao. Unashangaa huyu mkuu wa wilaya alipata wapi muda wa kwenda kutega kamera anase tukio la fumanizi kama si mkuda na mpenda udaku? Badala ya kuzuia tukio lisifanyike yeye anarekodi ili aje amlipue muhanga wa tukio
 
Nilichoshwa na vibinti vidogo vitoto vya shule kuja kutaka vinioshee vyombo, mara kaje kamoja peke yake, mara kundi, ikawa vinataka kunipikia chakula huku majirani wanajua sina mke ikabidi nihame mtaa kabla sijapakaziwa kashfa ya kuvilala. Mbaya zaidi hata wakubwa wao na walikuwa wanakuja kila mmoja kwa wakati wake iwe mchana au usiku, jamii ikaanza kunisi nabandua, ikabidi nikimbie mtaa. Mtaa mpya nilikohamia sitaki mazoea na wanawake wa umri wowote kuja na kuingia chumbani kwangu. Wauza mboga na vitafunwa wanasimamia mbali ndio waniuzie bidhaa zao, maana hata hao unaweza ukashawishika ukamvutia ndani ikawa habari nyingine
 
Kuna wakati naanza kazi ya ualimu niliponea chuchupu kupakaziwa nalabua wanafunzi, Kwa kuwa nilikuwa mgeni awali kwa nia nzuri tu wanafunzi wakubwa walikuwa wanakuja kunipatia msaada wa kuchota maji na kupika wanapokuwa wapo mapumziko. Tabia ikazoeleka yapata miaka miwili walimu wenzangu wakongwe wakaanza kuingiwa na wivu kwa nini bado naendelea kupikiwa. Chuki ikaingia wakapanga kunilipua kwa kuwatumia haohao mabinti wanafunzi wanipakazie kuwa huwa nawatongoza na kuwashika matiti wakimaliza kupika na huwa wananipa penzi. Mabinti saba wawili wakakataa kunisemea uongo mbele ya mkutano wa baraza la shule ikawa pona yangu. Ilikuwa niende na maji. Tangu wakati huo sitaki mabinti wanafunzi waje washiriki kuniandalia chakula chumbani kwangu ni balaa
 
Wapike miaka 2 usiwafanye kitu huo ni uongo , sema ulipotea chup chup tu,
 
Haanzi ghafra mzee, anaanza na maziwa mdogo mdogo, na we utaanza kumla huyo manzi ukidhani kuwa unafaudi, siku zinaenda ukiendelea kumgonga, kumbe n watu wako kazini wanakulia tyming

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nikos ya kusini tabia hizi zipo Sana kama hujasingiziwa mwanafunzi basi itakuwa mke WA mtu na ni chanzo cha mapato Kwa baadhi ya familia
 
Aisee
 
Kula kimasihara huwa inawaponza. Mtu unakubali tu mazoea ya hovyo kisa unatengeneza mazingira ya kula kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…