Mchezo Mchafu: Kuna kina mama huwatuma mabinti kuingia vyumba vya wapangaji wa kiume, fumanizi la video hufanyika ni aidha utoe pesa ama unaenda jela

Umeongea ukweli mwingi sana
 
NA WAKUU WA WILAYA WAMEKOSA KAZI MAOFISI...SIKU HIZI WAMEJIINGIZA KWENYE UMBEA NA UDAKU NA MAFUMANIZI...

UPUMBAVU TU. NIMEANZA KUELEWA KWANINI WATU WALIKUWA WANASISITIZA HIVI VYEO VIFUTWE.
Yule jamaa kakosa kazi et saa tano unaenda kufanya fumanizi, alafu unasisitiza watoe majibu unayotaka ww kwa kwenda kuhoji nje ya kamera,
Inakuwaje hapo.
Kutaka sifa tu.
 
Sexpionage Entrapment for ill-will or for bad intention like personal gain, Characters Assassination Propaganda and Smear Campaign against a particular targeted person. So, always you must be watchful.
 
Vibinti vimejaa UTI na vinatoa harufu sijui Hawa wahuni wanavisogelea Kwa sababu gani
 
Mambo ya uswazi hayo kwa karne ya sasa sidhani kama yapo, ila kwa mtu mzima anayejitambua sidhani kama atadhubutu kuviita eti vitoto vije kucheki tv dunia imearubika sana

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kama miezi miwili, Kuna mtu kafungishiwa ndoa ya mkeka, anachosema mleta Uzi ukweli, kuweni makini, njaa Kali siku hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa yake wakishaingia ndani kufanya fumanizi la mchongo jifanye umezimia watakimbia wote kutotaka ushahidi
Hatariiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa kabisa sku hz kuwasaidia hawa watu umegeuka kuwa mtego kwetu sisi wanaume!
 
Suluhisho hapo ni kutoleta mazoea na wenye nyumba. Usiwe mtu wa kushinda hapo kwenye hizo za kupanga. Kuwa Bize na mambo yako uwe mtu wa kutoka saa12 asubuhi na kurudi saa 6 usiku hakuna mtu atakaye kukuulizia. Alafu usiawachekee hivo vibinti ili vikuheshimu vikikeleta mazoea vizabe vibao
 
Haya mambo wanayo wazaramo

Kuna jamaa alijukuta kaozeshwa ndoa ambayo hakuitarajia kisa tu kuzidiwa kihisia na binti wa mwenye nyumba.
 
Ukiwa unavikimbia wanakuanzishia kashfa ya ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…