Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

Aisee.. Kuna account yangu bank ya standard chartered,
Juzi nmeweka 190,000 kwa njia ya m pesa cha jabu hiyo bank wakafyeka 22,000 nzima. Mpaka sasa hivi nawaza wamekata kwa jili ya nini sipati jibu.
Mkuu nchi imeoza hii
 
Nilidhani labda marehemu alikuwa na fixed accnt kumbe ni accnt ya kawaida, ss km mshahara ulikuwa ukiingia tu anautoa unategemea ibaki sh ngp?

Hapo hoja ni kwamba kwnn waseme walikosea kuandika badala ya milioni mbili wakaweka laki moja na sio eti kushangaa kwnn ibaki laki moja wkt alikuwa analipwa milioni mbili kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes wale manyoka ( teller) usifikiri wanajifanyia tuu huu wizi...hii ni deal

Bank staffs wana njaa sana waone hivi hivi tu, labda loan officer ndo angalau

Heee wana njaa tena mbona huwa wanaonekana mambo safi[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wakiona huu uzi Mama atalipwa in full
 
Benk statement imekosewa? sema Pia mkuu ungetusaidia kujua hata jina la hiyo benk na hiyo account namba tuifanyie utafiti,hapa kuna harufu ya zuluma
 
mkuu acha kugeneralize eti kila mtu mwizi....watu wengine ni waaminifu kwa asilimia zote. Hata kama wapo kumi nchi nzima sio jambo la busara kuwsingiza wote kwenye genge lenu la ujambazi
 
We jamaa mbona unatetea ujinga? Au upo bank?
 
Mimi mpk leo NMB account nimeisusa kabisa, kipindi cha harusi yangu nilikua nawweka michango jamaa walikomba kama 450k hivi,
Then niliudhika zaidi siku Mama alinituma nimtumie babu hela kwa NMB pale Tmk kipindi hicho tawi lao lipo jirani na hospt ya Temeke, ile hela haikumfikia babu na payslip nilikua nayo hivyo Mama alijua nilikula ile hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…