ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Mpaka ujueSema uzur benki ukipgwa wanakurudshia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka ujueSema uzur benki ukipgwa wanakurudshia
Sasa na zile kazi tulizoomba inakuwaje 😅😅😅Pale ulikuwa ni uozo sio kazi asee[emoji848]
Yaan ni unapigwa mpaka unaona aibu wewe uliyeibiwa[emoji16]
CRDB ya sasa ni Hovyo kuliko Hovyo yenyewe, wana ujinga mwingi sanaa!Ifike mahali bank za hivyo zitajwe waziwazi. Mfano mimi kwenye bank ya CRDB tarehe 23 April nilifanya muamala mara mbili lakini nilikuta makato ya pesa zaidi ya mara 10. CRDB kwa sasa imekuwa ni bank ya hovyo kabisa.
Mkuu haka kamchezo wafanyakazi wenu wanakafanya sana, binafsi nimeshawahi toa hela kwenye ATM NMB hela haikutoka nikasubiri masaa 24 haikurudi nikajanza form tena pale muhimbili branch hela ikarudishwa imekatwa vibaya sasa nikajiuliza hela niliyotoa haijatoka hata kuirudisha kwenye account inakatwa tene, pili nilinunua umeme sikupata token nikajaza form nirudishiwe hela yangu hadi kesho hela haojarudi.Nasisitiza tena,Hakuna pesa ya mtaje inayopotea Bank,yanayaotokea ni makosa ya ma bank teller tu na sio kwamba eti benki ni wezi.Teller katika mahesabu yake akikuta pesa imezidi,ile hela kuna suspense account inawekwa,na hauruhusiwi kuitumia hata kama ni elfu ,sababu wanaa assume kuna siku utakuja kuiulizia na utapewa,..Ikijulikana kuna pesa mtaja kazidisha na huku report,siku akija kudai hela yake,Teller atakwenda na maji.
Ukiona kuna shida kwenye pesa zako,nenda bank na slip zako utaruhudishiwa hela yako.
Issue ya statement ni makosa kwenye kui spool hiyo statement tu labda afisa kuna namna alikosea ila sio lengo la bank kumuibia mteja,Sababu ikijulikana benki kuu benki inaiba pesa za wateja,hiyo faini yake benki haiwezi kulipa.
Na Ndio maana wahindi hawaweki pesa kwy bank za wabongo. Wanaweka Exim BankMimi ilinitokea, nilipekeka 300,000/= kwenye a/c yangu, iligongwa mihuri yote na sahihi ya mpokeaji( huyo dada namfahamu kwa sura, kwa kua nina mazoea ya kwenda hiyo bank. Cha ajabu siku nakwenda ku withdraw pesaATM inanimbi insufficient fund, nikaangalia bal nikakuta wameniwekea 30,000/ nilifuatilia kwa branch manager, yule dada aliitwa (aliyezipokea) nikaambiwa baada ya nusu saa niangalie bal nitakuta imerekebishwa, na kweli ikawa hivyo. Wizi upo sana kwenye bank
Kazi ya pesa ni mizunguko sio kusinzia benkInaonesha jinsi wewe ni mtu wa aina gani.
Dah... Sasa mimi kuitelekeza ni ngumu maana naitumia kwa ajili ya mambo yangu ya kimtandaoNimeitelekeza akaunt yangu ya Stanchat. Wana makato haoo balaa. Nadhan ni malimbikizo ya hela ya kutunzia akaunt
Ulitaka na wewe ukatupige??[emoji15]Sasa na zile kazi tulizoomba inakuwaje [emoji28][emoji28][emoji28]
Bank kuna dual control system. Sio rahisi staff mmoja akafanya wizi pekeyake mara nyingi laziim kuwe na ushirikiano na staff wengine which is ni ngumu.Sister wangu alifiwa na mumewe mwaka alikua mhasibu kwenye wizara flan,same alipopata usimamizi wa mirathi alikutana na hali kama hiyo,stanbic hakukua na pesa,crdb kuna deni ambalo mkewe alitambui,nmb kuna laki 4!nchi ngumu sana hii!
Huyu Mashuke ni sawa sawa na Virgo?Sasa hiyo inawezekana vp. Wakati bank statement ni automatically. Inatolewa na bank system na kwa vyovyote vile bank statement itaonyesha balansi halisi ya mteja. Labda kama kuna mtu wa bank alifanya fraud kwa kutoa pesa wakati mteja alikwisha fariki na hiyo Miamala ya kutoa ni lazima ingeonekana ndani ya bank statement. Kiufupi ulichokiandika hapa kina uwalakini..
Aisee.. Kuna account yangu bank ya standard chartered,
Juzi nmeweka 190,000 kwa njia ya m pesa cha jabu hiyo bank wakafyeka 22,000 nzima. Mpaka sasa hivi nawaza wamekata kwa jili ya nini sipati jibu.
Mi niko Nmb...mwaka wa nne huu
Ukweli kabisa kwangu hawana shida, au kwa kuwa mi bandiduu?[emoji848]