King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mimi walitaka kunipiga kilo 5. Nilipowaijia juu wakairudisha fasta. sijui ni makosa ya kibinadamu au wanadhamiria?
Hamna ni wapigaji tu, wanakusikilizia kwanza ukitulia wanaipiga mazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi walitaka kunipiga kilo 5. Nilipowaijia juu wakairudisha fasta. sijui ni makosa ya kibinadamu au wanadhamiria?
Safi kabisa, haiwezekani tunapeleka pesa zetu bank tukijua ndio sehemu salama, badala yake wanatuibiaNami kuna siku nilienda weka hela. Nilizitenga mafungu mafungu. Yaan nilitumia lisaa kwa utulivu sana pale bank. Na nilikua nimedress kama beki 3. Halafu nimenyoa. Ghafla teller ananambia imepelea 2m... yaan tena anaanza kunibunia eti utakua umekosea kuhesabu. Yaan natetemeka. Bora angesema imepelea elf 20. Yaan mil 2 nzima? Na vile nilikua rafu ile siku ndo akazidi kuniharass.
Na mimi nikambadilikia nioamwambia nazijua tabia zenu. Naomba twende camera room na baada ya hapo namtaka branch manager wenu maana naona huduma mnagawa kwa kuangalia outlook za watu. Akawa kama anakaza na mimi sasa nikaongeza loudspeaker. Nikagonga na meza. Nikauliza kwanguvu qhere is rhe branch meneja office... i want to see the camera room alsoo.. weee akaanza tetemeka. Yule dada anaanza nibembeleza anieleweshe. Nikamwambia camera ndo zitanielewesha.. nikaonyeshwa meneja chaap nikamfata. Nikamwelezea scenario. Akaniomba sana nitulie. Tukaenda kwa lile dirisha la yule mama wa makamo nikakuta ameshaandika amount yote... nikamwuliza mbele ya meneja hii 2mil ulosema imepelea umeidownload eh? Nikamwomba ahudumie watu kwa kutokuangalia mavazi. Hii bank ovyo sana. Yaan imeoza sana siku hizi. Sasa sijui kama huwa wanapewaga adhabu ama lah.
Bas ukiwaona utadhani wanahelaa.. na wanakuaga na vidharau dharau vyao vya ajabu,Yes wale manyoka ( teller) usifikiri wanajifanyia tuu huu wizi...hii ni deal
Bank staffs wana njaa sana waone hivi hivi tu, labda loan officer ndo angalau
Eti kwenye movie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Nataman ningekuepo maana napendaga kuona fujo kama hizo[emoji23][emoji23][emoji23] yaan nilivurugwaaa. Yule teller akanambia eti mbona unang'ang'ania hiyo camera room. Mimi nilitaka tuu ajue siyo boya na basi. Nilitaka ajue najua engilishi hata cha kuombea maji na najuaga kuna kamera huko benki[emoji23][emoji23] kiujumla hiyo siku nilikua mchafu aisee... maybe alijua nimetoka uza mchicha ndo makusanyo. Halafu usisahau nikagonga kwenye meza kama wanavyofanyaga kwenye movie[emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikumbuka kipande cha kwenye movie pale mtu anagonga meza paaah halaf ananyanyuka anauliza where is the boss[emoji23][emoji23][emoji23] kwanza ilibidi nipewe a cup of coffee halaf seniour relationship manager aitwe kunibembeleza. Nakwambia kinge kingi kama deffensive mechanism kuwapotezea maboya wasije niona wa kujaEti kwenye movie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Nataman ningekuepo maana napendaga kuona fujo kama hizo
Nimeitelekeza akaunt yangu ya Stanchat. Wana makato haoo balaa. Nadhan ni malimbikizo ya hela ya kutunzia akauntAisee.. Kuna account yangu bank ya standard chartered,
Juzi nmeweka 190,000 kwa njia ya m pesa cha jabu hiyo bank wakafyeka 22,000 nzima. Mpaka sasa hivi nawaza wamekata kwa jili ya nini sipati jibu.
Wapi nimekataa kwamba hayo wanayosema HAYAJAWATOKEA?.Soma kwa Logic mkuu,Bro, mbona unawatetea sana hawa jamaa. Ndugu zako wanaelezea kilichowakuta ila wewe unakataa.
Hukuona yule jamaa ambaye alikuwa ana deposit hela bank na slip anazo lakini bank ilikuwa inakataa hajadeposit. Kesi ikaenda mahakamani na jamaa akashinda. Ikabidi mali za benki zipigwe mnada. Sikumbuki jina la benki lakini ilikuwa ni last year.
Mkuu mkasa Kama huu ulinitokea CRDB, Kuna mtu nilimlipa 3.75mil nikapewa na paid slip ila baada ya siku 3 jamaa alinipigia simu kwamba nimemlipa 1.75mil tuu, ilinibidi nishangae na kumuuliza umejuaje nimekulipa kiasi hicho akaniambia nipo na benki statement hapa ndicho kiasi kinachosoma umeiingiza, Nikamuuliza hakuna sehemu yenye tarehe ...mwezi February 2021 inasoma 3.75mil?..... Jamaa ndio akafunguka kwamba kiliingizwa kiasi hicho lakini kikatolewa na kuingizwa 1.75Mil duuh teller akawa amepiga 2Mil fastaaa,Bank wahuni sana. Mwaka jana mwanzoni nilienda kuweka 1.3M kwenye account yangu ya NMB. Tukahesabu fresh, then baada ya kumaliza nikasepa.
Baadae yule teller wakati anafunga mahesabu, akawa inapelea laki 1. Kila akijaribu kuangalia ile loss inatokea wapi, hapati jibu. Mwisho wa siku akapitisha wazo kuwa mimi hela niliyopeleka ilikuwa 1.2M na sio 1.3M. Akajaribu kunipigia simu, sikuwa hewani. Kwavile alikuwa anataka kufunga hesabu, akaandika slip mpya, inayoonesha nimeweka 1.2M then akafoji sahihi yangu. Kwakifupi akatoa laki moja kwenye account yangu.
Nilipopata ujumbe baada ya kuwasha simu kuwa alinitafuta , ikabidi kesho yake mapema niende.Kufika pale ananipa slip aliyojaza yeye akisema tulikosea kuhesabu. Nikamwambia labda ukosee wewe, zile hela nilihesabu kabla sijatoka home. Tukabishana sana hadi kwenda kwa Manager. Yule teller anakomaa kuwa hata kwenye camera zimeonesha kuwa mimi na yeye tulikosea kuhesabu. Vutana sana pale, baadae kuna mmama mmoja nae ni mfanyakazi pale ndio akamuita ndani. Yule mama akamuonesha kosa lilipotokea, kumbe baada ya mimi kuondoka, kuna mtu alikuja na kutoa elfu 50, ila yeye akamuandakia kaweka elfu 50, it means loss ikajidouble.
Baada ya hapo jamaa akaniomba sana msamaha, mpaka natoka getini jamaa yupo ananiomba msamaha tu. Siku hiyo ndio nikajua kumbe bank inaweza kutoa hela kwenye account yako na usiletewe ujumbe.
Wezi sana.
Nakuelewa mkuu,huyo staff aliye foji signature yako,hiyo ilikuwa ni kesi kabisa ya forgery na kwa ofisi iliyo makini angepigwa chini instantly,.Ofcoz hayo makosa ndio yanazalisha wizi au dhulma. Inakuwaje mnapigiana hesabu vizuri then unaweka hela nakuondoka, alaf baadae unaambiwa hela uliyoleta ni pungufu ulikosea kuhesabu? Wanafoji saini kisha wanatoa hela kwenye account yako, mbaya zaidi kwenye simu hauji ujumbe wa hiyo transaction. Wakishagundua walipokosea, ndio wanajifanya kukuomba msamaha, wakati hapo awali walikuwa wanasema kosa ni lako?
Nakubaliana na wewe, tutofautishe benki kama taasisi na mfanyakazi kama mwajiriwa, makosa sio benki na benki haina sababu ya kukuibia fedha zako kwani itaharibu sifa ya taasisi na sifa kubwa ya benki ni usalama wa fedha za mteja. Kinachotokea ni aidha makosa ya kibinadamu ya watumishi au baadhi ya watumishi kutokuwa waaminifu.Wapi nimekataa kwamba hayo wanayosema HAYAJAWATOKEA?.Soma kwa Logic mkuu,
Ninachosema nimkwamba,yanayotokea ni makosa ya wafanyakazi wa bank na wala sio sera za benki kuwaibia wateja,hii ndio point yangu,Na ndio maana ukifuatilia kwa vielelezo wanakupa hela yako sababu waliihifadhi wakijua kabisa kuna siku utakuja,.Pili,kama afisa wa benki amekuibia kwa makusudi na ikajulikana hivyo wakati unafuatilia,lazima achukuliwe hatua maana ukienda kureport Benki Kuu ni dhahama kwa benki.
Ile Issue ya mwaka jana,nafkiri ni benki fulani branch ya arusha.Kuna vitu vingi sana vilitokea na huvijui ndio maana benki ilikubali hata kwenda mahakamani,yule mteja aliweka fixed deposit benki,then baadae kwa kushirikiana na afisa wa benki, wakaitoa ile pesa ila kwenye record za benki yule afisa hakuifuta kwamba imetoka,then baadae akaja tena kudai ile pesa,ndio chanzo cha benki kwenda mahakamani sababu benki wao waliita kama fraud.Na ukiangalia kweli yule mtaje alikuwa na slip zote na mkataba wa ile deposit,lakini nyuma ya pazia haikuwa hivyo.
Mkuu nishawai kuwa bank teller....Kuna makosa huwa yanatokea,mfano hi yako inaweza kuwa mis posting.....alikuwa Ana deposit 300000,akakosea akapost 30000,jioni wakati wa kubalance akaona Ana overage/excess ya 270000,kwa teller muaminifu nilazima ureport kwa supervisor wako ambae Ni back office supervisor (B.O.S),mfanye reconsilation ya slip zote mlizo post that day,ikiwa hujaiyona una report na kuna account unapost,the same to shortage.tatizo linaibuka kwa teller ambae sio muaminifu,anaona one overage anakausha anawekaa mfukoni,baada ya siku,wiki au mwezi muhusika alio deposit anagundua makosa Kama hapo....unareport kwa manager.....teller anaulizwa na kuangalia receipts inaonesha ulileta 300000 yeye kapost 30000,inatakiwa afanye anavyo weza ifanyike reversal apost 300000,Sasa hapo ndo kimbembeee Kama uli report uko safe side Kama ulibana na hukureport jua linakuwakiaMimi ilinitokea, nilipekeka 300,000/= kwenye a/c yangu, iligongwa mihuri yote na sahihi ya mpokeaji( huyo dada namfahamu kwa sura, kwa kua nina mazoea ya kwenda hiyo bank. Cha ajabu siku nakwenda ku withdraw pesaATM inanimbi insufficient fund, nikaangalia bal nikakuta wameniwekea 30,000/ nilifuatilia kwa branch manager, yule dada aliitwa (aliyezipokea) nikaambiwa baada ya nusu saa niangalie bal nitakuta imerekebishwa, na kweli ikawa hivyo. Wizi upo sana kwenye bank
Mkuu naungana na wewe katika hili.Ifike mahali bank za hivyo zitajwe waziwazi. Mfano mimi kwenye bank ya CRDB tarehe 23 April nilifanya muamala mara mbili lakini nilikuta makato ya pesa zaidi ya mara 10. CRDB kwa sasa imekuwa ni bank ya hovyo kabisa.
Kuna kitu kimejificha ambacho mimi sina majibu. Nilienda kwa manager baada ya wiki toka ni deposit hiyo hela, ina maana supervisor hajaona ? Ina maana yy hajariport kuwa kuna ecxess, cha ajabu kuna jamaa yangu nae alishawahi kumbwa na tatizo hilohilo kwa teller yuleyuleMkuu nishawai kuwa bank teller....Kuna makosa huwa yanatokea,mfano hi yako inaweza kuwa mis posting.....alikuwa Ana deposit 300000,akakosea akapost 30000,jioni wakati wa kubalance akaona Ana overage/excess ya 270000,kwa teller muaminifu nilazima ureport kwa supervisor wako ambae Ni back office supervisor (B.O.S),mfanye reconsilation ya slip zote mlizo post that day,ikiwa hujaiyona una report na kuna account unapost,the same to shortage.tatizo linaibuka kwa teller ambae sio muaminifu,anaona one overage anakausha anawekaa mfukoni,baada ya siku,wiki au mwezi muhusika alio deposit anagundua makosa Kama hapo....unareport kwa manager.....teller anaulizwa na kuangalia receipts inaonesha ulileta 300000 yeye kapost 30000,inatakiwa afanye anavyo weza ifanyike reversal apost 300000,Sasa hapo ndo kimbembeee Kama uli report uko safe side Kama ulibana na hukureport jua linakuwakia
Mkuu nashukuru kwa kunielewa,mimi nilibahatika kufanya kazi benki kidogo ila sikukaa front dest/kirishani najua sana operations za benki behind zinafanyikaje..Kable ya hapo nikiwa chuoni/mtaani niliamini kabisa benki wanaiba pesa kama watu wengi wanavyoamini hapa,ila baada ya kupata uzoefu kidogo nimegundua hakuna hata senti ya mteja ianweza potea benki kwa makusudi,labda iwe ni fraud na ikiwa hivyo mteja hatoathirika.Nakubaliana na wewe, tutofautishe benki kama taasisi na mfanyakazi kama mwajiriwa, makosa sio benki na benki haina sababu ya kukuibia fedha zako kwani itaharibu sifa ya taasisi na sifa kubwa ya benki ni usalama wa fedha za mteja. Kinachotokea ni aidha makosa ya kibinadamu ya watumishi au baadhi ya watumishi kutokuwa waaminifu.
Lakini pia kuna wateja wengine pia sio waaminifu, wakilipwa zaidi ya kiasi walichotaka kuchukua kwa teller kukosea kumlipa huwa wanaingia mitini na hawarejeshi fedha hizo na matokeo yake teller hulazimika kulipa yeye fedha hizo na hapo atakuwa amesamehewa vinginevyo hufukuzwa kazi kabisa. Hivyo mteja mwenzagu ukizidishiwa fedha benki zirejeshe ili huyo mtumishi asiingie matatizoni.
Pale ulikuwa ni uozo sio kazi asee[emoji848]Hahahaha naskia mama kavunja bodi juzi [emoji81][emoji81][emoji81] amesambaratisha utawala
Huyo teller anakauzembee....na Ni Yule ambae akiona ovarage hareport......Hawa sio waaminifuKuna kitu kimejificha ambacho mimi sina majibu. Nilienda kwa manager baada ya wiki toka ni deposit hiyo hela, ina maana supervisor hajaona ? Ina maana yy hajariport kuwa kuna ecxess, cha ajabu kuna jamaa yangu nae alishawahi kumbwa na tatizo hilohilo kwa teller yuleyule