Nasisitiza tena,Hakuna pesa ya mtaje inayopotea Bank,yanayaotokea ni makosa ya ma bank teller tu na sio kwamba eti benki ni wezi.Teller katika mahesabu yake akikuta pesa imezidi,ile hela kuna suspense account inawekwa,na hauruhusiwi kuitumia hata kama ni elfu ,sababu wanaa assume kuna siku utakuja kuiulizia na utapewa,..Ikijulikana kuna pesa mtaja kazidisha na huku report,siku akija kudai hela yake,Teller atakwenda na maji.
Ukiona kuna shida kwenye pesa zako,nenda bank na slip zako utaruhudishiwa hela yako.
Issue ya statement ni makosa kwenye kui spool hiyo statement tu labda afisa kuna namna alikosea ila sio lengo la bank kumuibia mteja,Sababu ikijulikana benki kuu benki inaiba pesa za wateja,hiyo faini yake benki haiwezi kulipa.