mkushi wa kushi
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 657
- 993
Aisee ndio nasanuka kumbee equity wslinipigaga kwa style kitambo kdgo lkni pole 2 milioni sio poaNami kuna siku nilienda weka hela. Nilizitenga mafungu mafungu. Yaan nilitumia lisaa kwa utulivu sana pale bank. Na nilikua nimedress kama beki 3. Halafu nimenyoa. Ghafla teller ananambia imepelea 2m... yaan tena anaanza kunibunia eti utakua umekosea kuhesabu. Yaan natetemeka. Bora angesema imepelea elf 20. Yaan mil 2 nzima? Na vile nilikua rafu ile siku ndo akazidi kuniharass.
Na mimi nikambadilikia nioamwambia nazijua tabia zenu. Naomba twende camera room na baada ya hapo namtaka branch manager wenu maana naona huduma mnagawa kwa kuangalia outlook za watu. Akawa kama anakaza na mimi sasa nikaongeza loudspeaker. Nikagonga na meza. Nikauliza kwanguvu qhere is rhe branch meneja office... i want to see the camera room alsoo.. weee akaanza tetemeka. Yule dada anaanza nibembeleza anieleweshe. Nikamwambia camera ndo zitanielewesha.. nikaonyeshwa meneja chaap nikamfata. Nikamwelezea scenario. Akaniomba sana nitulie. Tukaenda kwa lile dirisha la yule mama wa makamo nikakuta ameshaandika amount yote... nikamwuliza mbele ya meneja hii 2mil ulosema imepelea umeidownload eh? Nikamwomba ahudumie watu kwa kutokuangalia mavazi. Hii bank ovyo sana. Yaan imeoza sana siku hizi. Sasa sijui kama huwa wanapewaga adhabu ama lah.