Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Historically banks zilianzishwa na kikundi cha mafias ili waweze kuiba pesa za watu kihalali/kwa kalamu.
So go figure.
So go figure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NMB wanatisha na cha ajabu maafisa wa benki mkiwa mnajuana ndo anakumaliza.Wana tabia kama Askari wetu wasio na maadili, akikujua ndo anakulengeshaMimi ilinitokea, nilipekeka 300,000/= kwenye a/c yangu, iligongwa mihuri yote na sahihi ya mpokeaji( huyo dada namfahamu kwa sura, kwa kua nina mazoea ya kwenda hiyo bank. Cha ajabu siku nakwenda ku withdraw pesaATM inanimbi insufficient fund, nikaangalia bal nikakuta wameniwekea 30,000/ nilifuatilia kwa branch manager, yule dada aliitwa (aliyezipokea) nikaambiwa baada ya nusu saa niangalie bal nitakuta imerekebishwa, na kweli ikawa hivyo. Wizi upo sana kwenye bank
Na mikopo ya watu binafsi, nuksi tupuMshahara mkubwa na kuweka akiba ni vitu viwili tofauti
Kuweka akiba kunahitaji nidhamu ya hali ya juu na kujikanya nafsi yako zaidi ya mahakama inavyojikanya kabla haijapokea ushahidi wa mtoto mdogo ambao haujaungwa mkono na ushahidi mwingine
Kuna watu mapedesheee watu maarufu, wafanya kazi waliokuwa wanatunza wasanii wa bendi kwenye mabaa kabla ya utawala wa magufuli, wakifa wanafamilia kutokana na umaharufu wao hukimbilia kadi za benki mweee hakuna kitu
So tusisingizie benki tuu , tukumbuke kuweka akiba, ukishakuwa mlevi wa mikopo ya benki na vikoba sahau kitu kinachoitwa akiba
Why alihamishwa na si kufutwa kazi??Kufwatilia Kuna siku nilibank 600,000 jamaa akaweka 60,000 akala 540,000
Na sikuwahi kuweka pesa chini ya laki ,manger akaniomba radhi Ila yula mtumishi alihamishwa pale drishani
Ifike mahali bank za hivyo zitajwe waziwazi. Mfano mimi kwenye bank ya CRDB tarehe 23 April nilifanya muamala mara mbili lakini nilikuta makato ya pesa zaidi ya mara 10. CRDB kwa sasa imekuwa ni bank ya hovyo kabisa.Mimi pia wamenifanyia mchezo huo leo..
Mkuu si unapotezea tu kwani na wewe huibi katika nafasi yako? Huko ofisini hupigi panga? Kila mtu bongo ni mwizi katika nafasi yake. Ukiibiwa potezea tu. Cha kufariji huyo aliyekuubia naye atalizwa na aliyemliza naye atalizwa karma ipo kwa iyo usijali songa mbele
Sister wangu alifiwa na mumewe mwaka alikua mhasibu kwenye wizara flan,same alipopata usimamizi wa mirathi alikutana na hali kama hiyo,stanbic hakukua na pesa,crdb kuna deni ambalo mkewe alitambui,nmb kuna laki 4!nchi ngumu sana hii!Habari zenu ndugu zangu
Naomba kushea na nyie jambo hili
Leo nilikua mahakamn kwa ajili ya shughuli zangu nikakutana na mama mmoja anafatilia mirathi ya mumewe
Katika mazungumzo yetu akanidokeza jambo moja ambalo nimeshangaa sana
Anasema baada ya shauri la mirathi kuisha alipewa barua inayomtambulisha kua msimamizi ili akafatilie pesa na mambo mengine
Mumewe alikua ni mfanyakaz wa umoja wa mataifa UN
Alianza na bank aliokua anachukulia mshahara mumewe
Alivofika baada ya kuwaonesha document walimwambia angoje kidogo wafanyie kaz
Baada ya muda kidogo wakamuita na kumpa bank statement ambayo alitakiwa apeleke mahakamani
Bank statement ilionesha acount ilikua na laki moja na sent kias
Akaondoka mpka mahakaman na kukabidhi bank statement kwa karan
Anasema karani hakua na imani na kias cha pesa kilichopo kwenye acount ya marehem kwa sababu document zilionesha alikua analipwa milion 2 kwa mwezi
Karan wa mahakama ikabidi apige cm bank na kuhoji maswali kadhaa kuhusu utata huo
Bank walimjibu kwamba walikosea na kwamba taarifa sahihi acount ina milion mbili na point
Inavoonekana huu mchezo bank wanaucheza sana ,
Fikilia wangapi wamedhulumiwa kwa mtindo km huuu
😡
Mimi mzee wangu alifariki 2018 na alikuwa analipwa pension PSSF baada ya kustaafu na alikuwa mkulima na walilipwa fedha kwa ajili ya Kilimo, aliuza mazao yake na kuweka pesa benki kwa kumshirikisha Mama ila Aliyekuwa anasimamia Mirathi kaenda benki na kukuta ana laki nane tu. Dunia inasikitisha sana.Habari zenu ndugu zangu
Naomba kushea na nyie jambo hili
Leo nilikua mahakamn kwa ajili ya shughuli zangu nikakutana na mama mmoja anafatilia mirathi ya mumewe
Katika mazungumzo yetu akanidokeza jambo moja ambalo nimeshangaa sana
Anasema baada ya shauri la mirathi kuisha alipewa barua inayomtambulisha kua msimamizi ili akafatilie pesa na mambo mengine
Mumewe alikua ni mfanyakaz wa umoja wa mataifa UN
Alianza na bank aliokua anachukulia mshahara mumewe
Alivofika baada ya kuwaonesha document walimwambia angoje kidogo wafanyie kaz
Baada ya muda kidogo wakamuita na kumpa bank statement ambayo alitakiwa apeleke mahakamani
Bank statement ilionesha acount ilikua na laki moja na sent kias
Akaondoka mpka mahakaman na kukabidhi bank statement kwa karan
Anasema karani hakua na imani na kias cha pesa kilichopo kwenye acount ya marehem kwa sababu document zilionesha alikua analipwa milion 2 kwa mwezi
Karan wa mahakama ikabidi apige cm bank na kuhoji maswali kadhaa kuhusu utata huo
Bank walimjibu kwamba walikosea na kwamba taarifa sahihi acount ina milion mbili na point
Inavoonekana huu mchezo bank wanaucheza sana ,
Fikilia wangapi wamedhulumiwa kwa mtindo km huuu
😡
Unajua alikuwa anafanya kazi gani UN?Mfanyakazi wa UN na analipwa mil 2?
Ina maana mishahara ya UN sivyo ambavyo watu tunafikiria ni minono kupindukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unataka kuubariki uovu,hivi unazani watu wanafanana,kuna watu wanapata hela zao kihalali hawaibi hata senti ya mtu.Kwa hiyo style yako tutakuwa tunajenga kizazi cha ajabu sana cha wizi kilicho kosa uaminifu.Mkuu si unapotezea tu kwani na wewe huibi katika nafasi yako? Huko ofisini hupigi panga? Kila mtu bongo ni mwizi katika nafasi yake. Ukiibiwa potezea tu. Cha kufariji huyo aliyekuubia naye atalizwa na aliyemliza naye atalizwa karma ipo kwa iyo usijali songa mbele
Shida Mpesa huwezi hold ela nyingi labda mils kadhaa.Mpesa ndo iko salama kuliko hata benk. Mm sina bank a/c kwa sasa naona ni ujinga.hela ipo benk haiongezeki imelala tu? Hapana
Ni kweli.wenye nyingi ndo waendelee kupigwaShida Mpesa huwezi hold ela nyingi labda mils kadhaa.
Wezi sana wale, wanapga mpaka za madrug lordsNi kweli.wenye nyingi ndo waendelee kupigwa
Hata mimi ndiyo hiyo hiyo. Sasa hivi nina mpango kuhamia NMB sijui wakoje.Ifike mahali bank za hivyo zitajwe waziwazi. Mfano mimi kwenye bank ya CRDB tarehe 23 April nilifanya muamala mara mbili lakini nilikuta makato ya pesa zaidi ya mara 10. CRDB kwa sasa imekuwa ni bank ya hovyo kabisa.
Inategemea anafanya kazi gani, kuna madaraja pia. Lakini alama UN huwa inatumika ndivyo sivyo wao wanashirikiana na mashirika mengine mengi madogomadogo ambayo wanayafadhili kuendesha miradi, kwa taratibu zao magari wanayowapa hayo mashirika na hata official documents zote zinaandikwa UNMfanyakazi wa UN na analipwa mil 2?
Ina maana mishahara ya UN sivyo ambavyo watu tunafikiria ni minono kupindukia
Sent using Jamii Forums mobile app