Mchezo mpya wa mademu wa siku hizi vipi umeusoma?

RSM Dominik

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2026
Posts
207
Reaction score
561
Tawire tawire

Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.

Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!

Sorry picha haihusiani na DIS
 
Attachments

  • FB_IMG_17670880092069008.jpg
    FB_IMG_17670880092069008.jpg
    60.7 KB · Views: 35
Tawire tawire

Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Tafuta hela.
 
Back
Top Bottom