Wapo hivyo ni kutokana na baadhi yetu kuwa watumwa..
Nilishika sim ya Manz mmoja ktk DM yake Insta ana txt zaidi ya 300+ hizo hajazifungua. Kila siku ana uhakika wa DM mpya 20+. Kwanini asiweke maringo?
Dawa ya hawa watu hakikisha una impress yeye ndio atake namba yako not otherwise, mie ndio kanuni yangu na wala siombi namba yake huwa nampa ya kwangu anitafute..
Wapo wanaonichek wenyewe nikiona kimya najua mission imefeli.. akikucheck mwenyewe hutumii nguvu kujitambulisha, kujielezea , kutia huruma etc..
MPE namba yako instead of KUCHUKUA yake.