Mchezo mpya wa mademu wa siku hizi vipi umeusoma?

Tawire tawire

Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Omba namba ya mkeo uone kama ukimpigia hapokei.
 
Ni kweli hako kamchezo nimekashudhidia mara kadhaa recently
 
Tawire tawire

Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Tuma muamala wa pesa harafu jirudishie Akiona meseji atakupigia kisha mtukane 😂
 
Tawire tawire

Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
kikubwa usikate tamaa, kaza tu, hawana msimamo hao.
 
Mwanamke ukimpa hela haruki, acha mbwembwe.

Kwanza mwanamke ukimpa hela hata mkikubaliana kukutana mbanjuane analowana upesi sana
 
Tawire tawire

Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Unateseka bure wanawake waaikuhizi 90% ni wauzaji wa maku.

Wewe muulize bei gani muombe namba inayoopokea mualama mpe location.
 
Ni kweli ila sio wote, mwingine anajikubali,kuna baadhi nimezinguana nao hiyo staili, anauliza unaniuliza hela ya nn?
 
Hao ni washamba wajanja wanapiga kizinga
... anaweza kukuomba million Moja 'tu' akaonyeshe kwa kikoba, then akipata mkopo wake wa million tatu atakurudishia 'ka'million kako jioni! ... INGIA KINGI UJUE KAMA DENI LINAFUNGA MTU!
😅
 
Wapo hivyo ni kutokana na baadhi yetu kuwa watumwa..

Nilishika sim ya Manz mmoja ktk DM yake Insta ana txt zaidi ya 300+ hizo hajazifungua. Kila siku ana uhakika wa DM mpya 20+. Kwanini asiweke maringo?

Dawa ya hawa watu hakikisha una impress yeye ndio atake namba yako not otherwise, mie ndio kanuni yangu na wala siombi namba yake huwa nampa ya kwangu anitafute..

Wapo wanaonichek wenyewe nikiona kimya najua mission imefeli.. akikucheck mwenyewe hutumii nguvu kujitambulisha, kujielezea , kutia huruma etc..

MPE namba yako instead of KUCHUKUA yake.
 
Back
Top Bottom