Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Kuna dogo mjinga humu alisema kwenye mapenzi hela sio muhimu
Kuna dogo mjinga humu alisema kwenye mapenzi hela sio muhimu
Ndio sina demu sasa nafanyaje?Ukiwa hauna hela ni mateso sana.... Mimi siombi namba sababu nawaona kerouna
Pesa ina umuhimu lakini si kama nyie mnavo ikuza, mnao wahonga nao wanaenda kuhonga bro, amini hiloKuna dogo mjinga humu alisema kwenye mapenzi hela sio muhimu
Sio wote hufanyiwa hivyo.Ukiona wamekufanyia hivyo ujue wamekupuuza kwamba huna kituTawire tawire
Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Tuna aina ya vijana wapumbavu sana .Sasa hapo ww boy ndo fala, unapigaje simu na kutuma text mfululizo bila majibu.
Boys Tujifunze kubalance shobo, na sio kila mahali pa kutolea mboo.
Piga kunyetoNdio sina demu sasa nafanyaje?
Inasikitisha sana bwasheeTuna aina ya vijana wapumbavu sana .
Hii mbinu wameona wanaume wengi wameishtukia 😁, watu siku hizi hawatoi hela kizembe TlaatlaahKwani ile mbinu ya kukimbiza masela kwa kuomba pesa za kikoba wameacha?🤣
We jamaa ni godfather of ego 😁 ZinnMimi niliombaga namba mwaka juzi, nikamtext hakujibu, nami nikakausha nikampunguza mazima, akawa anaona status zangu napost, sijui akaanza kuvutiwa na baadhi ya vitu, akaja kunipigia baada ya miezi kama nane hivi, nikapokea nikaongea nae kawaida tu kidogo, tukamaliza, nikaendelea kula buyu, akaona simtafuti, akanipigia tena miezi sita baadae, nikaongea kidogo, akajifanya kakosea namba, baada ya hapo nikaifuta namba yake, now hanioni tena.
Demi hata awe mzuri vipi, akijishaua interest inakata, ukizingatia mimi siyo mtu wa mademu kihivyo, hata nikipita hivi wala hainiumi coz nimezoea kuishi kivyangu vyangu.We jamaa ni godfather of ego 😁 Zinn
Na lazima nijiamini coz ninazo sababu nyingi tu za kufanya hivyo.We jamaa ni godfather of ego 😁 Zinn
we jamaa ni mimi kabisa, yaani unapita mulemule...Demi hata awe mzuri vipi, akijishaua interest inakata, ukizingatia mimi siyo mtu wa mademu kihivyo, hata nikipita hivi wala hainiumi coz nimezoea kuishi kivyangu vyangu.
Mmmmh😂😂😂Demi hata awe mzuri vipi, akijishaua interest inakata, ukizingatia mimi siyo mtu wa mademu kihivyo, hata nikipita hivi wala hainiumi coz nimezoea kuishi kivyangu vyangu.
Na mimi piawe jamaa ni mimi kabisa, yaani unapita mulemule...