Kuna sign flani utaoneshwa kwamba unaweza kuendelea au hataki mazoea unatakiwa uzielewe na uziheshimu.haitokusumbua ukilenga hukosi bila kutumia nguvu nyingi
Ndio hicho alichonieleza mkali hapo juu!
Kama hujaona "signs" hizo at first glance, usijisumbue. Chukua time bila kujali umemwelewa vipi, chukua time. Wanawake na wenyewe binadamu, huwa wanapata mchecheto wakielewa kitu, na ukiwa legend lazima uelewe ishara hizo, hamna ishara acha. 😁