Kumbuka Mozambique kuna kundi la waasi la RENAMO ambalo japo kulikuwa na ceasefire agreement lakini baada ya uchaguzi wa kijinga walitaka kurejea msituni tena.Nashangaa wamewssumbua kwa miaka 4 lkn wameondolewa ndani ya mwezi 1.Watakua na jeshi dhaifu sana.
Re
Rejea kauli ya Mkuu wa kamandi ya Marekani Afrika(AFRICOM) juu ya uwezo wa Tanzania katika masuala ya ulinzi na usalama.Kagame mwenyewe anajua mziki wa JWTZ
Mwambie achukue kwanza Burundi maniner!Huyu mbuzi hazeeki wala hachoki. Siku moja tutasikia kaichukua Kati ya Uganda au Tanzania.
Huyu jamaa ana akili afu mjanja mjanja na katili saana. Masterminder!View attachment 1884690
Rwanda hii hii ambayo Kikwete aliwavuruga wiki 2 tu mpaka Kagame na M23 yake wakaanza kulia ndo ya kuipiga Tanzania? Rwanda hii ambayo wanajeshi wake wanakuja kufundishwa hapa Monduli ndo waipige Tz? Utakuwa na matatizo wewe
Hujui kitu wwRwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Tunahitaji siku mbili pekee kuitangaza Rwanda kuwa WilayaIngekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Sipo katika kutetea kuwa Rwanda wana jeshi lenye ubora kuliko Tanzania. Hili mimi silifahamu.Unaongea ukiwa Burundi au Bangui? Yaani nchi ambayo ukiwa Tabora unapiga Popote unapotaka ukienda Karagwe itakuwaje si unalenga Ikulu na RPG
Kumbuka Mozambique kuna kundi la waasi la RENAMO ambalo japo kulikuwa na ceasefire agreement lakini baada ya uchaguzi wa kijinga walitaka kurejea msituni tena.
Mimi nauliza wale jamaa wakianza kuwatrain hao majambazi wa madevu kuja kufanya uhalifu tz haitaleta shida ?
Na sisi tunapaswa kuwa makini sana na Rwanda hasa ukizingatia hata viongozi wetu wa siku hizi hoya hoya tu.Mziki wa Renamo hua ni mnene kidogo hawawezi kupigwa kirahisi hivyo,kipindi kile cha frelimo vs renamo Serikali ya South Africa(makaburu) ya kipindi hicho ilikua inai support Renamo na hio imefanya mpk leo Mozambique(frelimo) anakua anasitasita kupata msaada wa kijeshi kutoka S/Africa inshort hua haiwataki basi tu mambo ya sadc yamebana.Iliacha deep scar kati yao.
Ingekuwa rahisi hivyo Israel wangekuwa wanaishinda hamas na kuwachapa kama watoto.Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Tanzania mbona hao magaidi walipigwa kimya kimya kibiti wakakimbia. Alichofanya Rwanda, tz jeshi limekifanya kibiti miaka kadhaa nyuma.Nilishawahi kuishi Rwanda anijua military capability yao.
Rwanda anaanzaje destabilize nchi kubwa ambayo hawezi kushindana nayo na iko stable. Rwanda iliweza kujiweka DRC kwa vile imegawanyika na ina maeneo very isolated, sasa Tanzania waasi wakae wapi ambako hawafikiki. Alafu Rwanda hiyo bajeti ya kufadhiri makundi atolee wapi au mnadhani ana hela sana.Je hivyo vikosi havitaanza kupata mafunzo kwa siri kutoka kwa hao vijana wa slim vianze kusumbua Tanzania hasa ukizingatiwa gas yetu Mtwara ?
Aliwezaje kuwafadhili M23 ?Rwanda anaanzaje destabilize nchi kubwa ambayo hawezi kushindana nayo na iko stable. Rwanda iliweza kujiweka DRC kwa vile imegawanyika na ina maeneo very isolated, sasa Tanzania waasi wakae wapi ambako hawafikiki. Alafu Rwanda hiyo bajeti ya kufadhiri makundi atolee wapi au mnadhani ana hela sana.
Bila mkono wa nchi ya kigeni, Rwanda hawezi tengeneza adui mwingine tena so powerful. Technically Rwanda na Burundi ni maadui, DRC wamekaa wanachorana, Uganda ni allies. Sasa Rwanda yupi anafanya destabilization kwa nchi ambayo anategemea bandari yake kupitisha sehemu ya bidhaa zake
Ukiliweka jeshi la Msumbiji vs jeshi la Rwanda vita ya mataifa mawili, sio hii ya kukimbiza washika majambia mnayoita eti nayo ni vita. Unaweza kuta Rwanda inapigwaNashangaa wamewssumbua kwa miaka 4 lkn wameondolewa ndani ya mwezi 1.Watakua na jeshi dhaifu sana.
Gaddafi aliwekewa vikwazo kununua silaha tangu miaka ya 1990s uko. Hizo silaha ulizomuona nazo ni za miaka zaidi ya 30 alizokuwa amenunua. Alikuwa na project ya nuclear pia ila akaachana nayo, Saddam Hussein na Hafez al Assad baba yake Bashar wa sasa hivi pale Syria ndio wakakomaa nazo. Israel ilishambulia vinu vyaoUmeongea ukweli so long hauna tech yako na hautengenezi silaha zako mwenyewe then hakuna haja kabisa ya kuvimba maana silaha zozote zile ambazo nchi 1 inayo nchi nyingine yoyote ile inaweza ikazipata cha msingi uwe na pesa,saa nyingine ndio maana maana hata Iran hua ana kiburi kiaina maana anajitengenezea silaha zake mwenyewe.
Nilikuja kujua kua na silaha za kisasa ni utopolo ni ile kipindi cha Ghadafi anang’olewa,jamaa alikua na state of arts weapons lkn alitandikwa kama mtoto sababu mojawapo ni kwamba huwezi kupigana na aliyekuuzia silaha,atakachokuuzia jua yeye anacho zaidi ya hicho.Utapigwa tu,Israel hua ananunua silaha kibao US halafu anazifanyia modifications anavyotaka yeye.
Education is the most powerful weapon.
We utakuwa ni mtusi Rwanda Tanzania tukiamua asubuhi Tu Tunakunywa chai asubuhi.watusi huwa mnajisifia Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Wabongo nakwambia waache tu, eti tumeambiwa. Yani unategemea mgeni aje kukutembelea kisha akwambie nyumba yako mbaya. Wangekuwa wazungu wangeambizana ukweli ila sisi wanajua tunapenda unafiki basi wanamwaga sifa kila wanakokwenda. Hata hivo Gen. Townsend hakusema sisi ni wa kwanza, alisema tunaongoza. Alisema leading sio firstHuyo mkuu wa AFRICOM ameenda Kenya anawaambia hivyo hivyo wakenya hio inaitwa Military diplomacy.
M23 wanachukua maliasili kutoka Congo na ile nchi haina hata miundombinu kuunganisha Western na Eastern parts. Uliwahi sikia waasi wako kule Kishasa au miji ya mbali, wanachezea uku ambako miaka zaidi ya 20 rais hajawahi fika. Congo inaweza ishi robo nzima ya eneo lake ikiwa haimilikiwi na serikaliAliwezaje kuwafadhili M23 ?
Je akipata msaada kutoka kwa mataifa ya Magharibi hasa Ufaransa ambao ni wachochezi wa migogoro mingi sana Africa ?
Sisemi kwamba wataweza kufadhili ila niko suspicious sana na uwepo wa Rwanda Kusini mwa Tanzania
Acha kupotosha watu wewe.hii ni nini?Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]