Umeongea ukweli so long hauna tech yako na hautengenezi silaha zako mwenyewe then hakuna haja kabisa ya kuvimba maana silaha zozote zile ambazo nchi 1 inayo nchi nyingine yoyote ile inaweza ikazipata cha msingi uwe na pesa,saa nyingine ndio maana maana hata Iran hua ana kiburi kiaina maana anajitengenezea silaha zake mwenyewe.
Nilikuja kujua kua na silaha za kisasa ni utopolo ni ile kipindi cha Ghadafi anang’olewa,jamaa alikua na state of arts weapons lkn alitandikwa kama mtoto sababu mojawapo ni kwamba huwezi kupigana na aliyekuuzia silaha,atakachokuuzia jua yeye anacho zaidi ya hicho.Utapigwa tu,Israel hua ananunua silaha kibao US halafu anazifanyia modifications anavyotaka yeye.
Education is the most powerful weapon.