FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni ngumu Rwanda kuathirika, sababu ya proximity from Mozambique. Kucross Tanzania hadi Rwanda ni ngumu sana (kwa sasa kuna ushirikiano mkubwa sana wa kiusalama kati ya Rwanda na Tanzania, moja ya sababu ni hili suala). Na ndio sababu kwanini SADC iliamua kumtumia Rwanda ili kuepuka terrorists insurgency.Rwanda sasa ajiandae Hawa jamaa siyo watu.
Umeandika kama taahira ndugu yangu, Tz haiwezi kuchokozana na kata kama ya vingunguti, huko ni kujidhalilishaRwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
[emoji1787][emoji1787]Umeandika kama taahira ndugu yangu, Tz haiwezi kuchokozana na kata kama ya vingunguti, huko ni kujidhalilisha
Tatizo hawa wapiganaji huwa wanatekwa toka wakiwa watoto wadogo wa miaka 10 huko, imagine unaanza kumjaza ujinga (brainwashing) hadi anafika 18yrs, utamlaumu kweli kwa kuamini hayo? Ni kuwaombea tu kwa MunguKwa hiyo hawa washenzi muda huu washapewa warembo wao bikra huko mbinguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1889281
Ndio maana huwa naamini, hizi mambo ni za kudeal nazo mapema sana. Tena kiroho mbaya sana. Ukiziacha tu, zitakupa shida kudhibiti.Tatizo hawa wapiganaji huwa wanatekwa toka wakiwa watoto wadogo wa miaka 10 huko, imagine unaanza kumjaza ujinga (brainwashing) hadi anafika 18yrs, utamlaumu kweli kwa kuamini hayo? Ni kuwaombea tu kwa Mungu
Jeshi la Rwanda wapo vizuri.Rwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Ugaidi mbona ulianza JPM akiwa mwenyekiti wa SADC, alifanya nini?SADC Wanamawazo ya serikali ya CCM tujadiliane huku pesa inapotea kwenye vikao.
TUTAMKUMBUKA JPM.
Taliban Vs USA. Nani anakimbia?TANZANIA ni mbabe wa Vita analogy, tuko kwenye digital era
Kwa hiyo hawa washenzi muda huu washapewa warembo wao bikra huko mbinguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1889281
Unaota mchanaRwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Woow! Mkuu wa Tz Defence force procurement Departiment kaongea!🤣🤣Ahsante baba kutujuza.Kwanza kabisa rwanda hawana ndege za kijeshi vifaru havifiki hata 50 .tanzania ndani ya mwaka huu tumeagiza zaidi ya vifaru 25 kutoka urusi pia kuna pantsir air defense kama mbili zilipita eneo la msamvu morogoro nimepata tete tanzani tuna ndege za mig 29.tanzania drone za tech rahisi tunazo
shenz, ajaribu hata tu kusogea karagwe aone kama hautakuwa mwisho wake, kila mtu anapigana vita kwa interests zake, sisi hatukuwa na sababu ya kuingilia vita ya magaidi wa mozambique zaidi ya kulinda mipaka yetu, ila kwetu wamejaribu kuingia mara nyingi wamesambaratishwa, kama ingebidi kuingia basi mngeona kama wangemaliza hata sikuHuyu mbuzi hazeeki wala hachoki. Siku moja tutasikia kaichukua Kati ya Uganda au Tanzania.
Huyu jamaa ana akili afu mjanja mjanja na katili saana. Masterminder!View attachment 1884690
Mimi nadhani kuhusumu Moto wa jeshi la tz ungeenda kuwauliza M23..Magaidi wamesha ukimbia muji wa afungi kwa sasa! Hari iko shwari,soon raia watarudi kwenye makazi yao. SADC bado wana panga mabegi kwenda ku saidia mwanachama.
View attachment 1884673
View attachment 1884674
View attachment 1884675
View attachment 1884676
View attachment 1884677
View attachment 1884678
View attachment 1884679
View attachment 1884680
View attachment 1884681
View attachment 1884682
View attachment 1884684
View attachment 1884685
Na hao jamaa ndio walikuwa wapi kibiti yani.. Tanzania tulijaliwa busara, hatujivuni wala hatujikwezi ndivyo ambavyo jeshi letu limefunzwa kuishi hata Nyerere mpaka kumpiga Idd Amin alianza Kwa kumvumilia SanaaaaaMagaidi wamesha ukimbia muji wa afungi kwa sasa! Hari iko shwari,soon raia watarudi kwenye makazi yao. SADC bado wana panga mabegi kwenda ku saidia mwanachama.
View attachment 1884673
View attachment 1884674
View attachment 1884675
View attachment 1884676
View attachment 1884677
View attachment 1884678
View attachment 1884679
View attachment 1884680
View attachment 1884681
View attachment 1884682
View attachment 1884684
View attachment 1884685
Kwa hiyo kwa uelewa wako mkubwa jeshi letu ndio liliwakimbiza m23? Hakuna nchi nyingine?hakuna maombi ya umoja wa mataifa kuziomba nchi fulni ziungane ziwany'anganye silaha? Hivi unajua kua hao m23 inasemekana Kagame alikua anawapa suport kimya kimya ila yeye akawa anakan hizo shutma? Yani mmesha mfanya superstar kwa kumuongelea sanaaa! Its means mnamuogopa sio? Kama jamaa anafanyia nchi yake makubwa ndani myaka 27 tu,sisi tupo tu myaka almost inakua 70 baada ya uhuru ila bado maneno tu!. Mungu kasema;Mimi nadhani kuhusumu Moto wa jeshi la tz ungeenda kuwauliza M23..