Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

 
Rwanda sasa ajiandae Hawa jamaa siyo watu.
Ni ngumu Rwanda kuathirika, sababu ya proximity from Mozambique. Kucross Tanzania hadi Rwanda ni ngumu sana (kwa sasa kuna ushirikiano mkubwa sana wa kiusalama kati ya Rwanda na Tanzania, moja ya sababu ni hili suala). Na ndio sababu kwanini SADC iliamua kumtumia Rwanda ili kuepuka terrorists insurgency.
 
Kwa hiyo hawa washenzi muda huu washapewa warembo wao bikra huko mbinguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210812-094121.jpg
 
Kwa hiyo hawa washenzi muda huu washapewa warembo wao bikra huko mbinguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1889281
Tatizo hawa wapiganaji huwa wanatekwa toka wakiwa watoto wadogo wa miaka 10 huko, imagine unaanza kumjaza ujinga (brainwashing) hadi anafika 18yrs, utamlaumu kweli kwa kuamini hayo? Ni kuwaombea tu kwa Mungu
 
Tatizo hawa wapiganaji huwa wanatekwa toka wakiwa watoto wadogo wa miaka 10 huko, imagine unaanza kumjaza ujinga (brainwashing) hadi anafika 18yrs, utamlaumu kweli kwa kuamini hayo? Ni kuwaombea tu kwa Mungu
Ndio maana huwa naamini, hizi mambo ni za kudeal nazo mapema sana. Tena kiroho mbaya sana. Ukiziacha tu, zitakupa shida kudhibiti.
 
Siku Rwanda ikitaka vita na Tanzania, watuambie mapema asee. Ndugu zetu "waha" wanatosha kabisa kumaliza mchezo.

Tunapeleka vifaa vichache tu hapo Kigoma, then maeneo mengine ya nchi yanaendelea na shughuli nyingine za ujenzi wa taifa!

Na vita ikianza Alhamis, kufikia ijumaa jioni tayari mchezo umeisha. Hatuwezi kuwachelewesha ndugu zetu wasabato kuwahi kanisani sababu ya kadude kadogo ka kuitwa Rwanda.

Nyie mjichanganye tu, na vile tunazitamani pisi za kigali hahaa. Hamtaamini macho yenu. Burundi amewashinda, mnapata wapi ujasiri wa kuliwaza jabali la kuitwa Tanzania?
 
Vita havina macho tuache ushabiki maandazi tuombe tu amani itawale.

Tanzania tulipoteza maelfu ya ndugu zetu Msumbiji, Angola na Zimbabwe kwa kimbelembele cha Nyerere eti anataka kuikomboa Africa.

Tusiombee vita hata na Burundi tu, tutashinda ila na sisi ndugu zetu wataathirika.

Vita ya Idd Amin tulishinda ila tulipoteza maelfu ya ndugu zetu.
 
Kwanza kabisa rwanda hawana ndege za kijeshi vifaru havifiki hata 50 .tanzania ndani ya mwaka huu tumeagiza zaidi ya vifaru 25 kutoka urusi pia kuna pantsir air defense kama mbili zilipita eneo la msamvu morogoro nimepata tete tanzani tuna ndege za mig 29.tanzania drone za tech rahisi tunazo
Woow! Mkuu wa Tz Defence force procurement Departiment kaongea!🤣🤣Ahsante baba kutujuza.
 
Huyu mbuzi hazeeki wala hachoki. Siku moja tutasikia kaichukua Kati ya Uganda au Tanzania.

Huyu jamaa ana akili afu mjanja mjanja na katili saana. Masterminder!View attachment 1884690
shenz, ajaribu hata tu kusogea karagwe aone kama hautakuwa mwisho wake, kila mtu anapigana vita kwa interests zake, sisi hatukuwa na sababu ya kuingilia vita ya magaidi wa mozambique zaidi ya kulinda mipaka yetu, ila kwetu wamejaribu kuingia mara nyingi wamesambaratishwa, kama ingebidi kuingia basi mngeona kama wangemaliza hata siku
 
Mimi nadhani kuhusumu Moto wa jeshi la tz ungeenda kuwauliza M23..
 
Na hao jamaa ndio walikuwa wapi kibiti yani.. Tanzania tulijaliwa busara, hatujivuni wala hatujikwezi ndivyo ambavyo jeshi letu limefunzwa kuishi hata Nyerere mpaka kumpiga Idd Amin alianza Kwa kumvumilia Sanaaaaa
 
Mimi nadhani kuhusumu Moto wa jeshi la tz ungeenda kuwauliza M23..
Kwa hiyo kwa uelewa wako mkubwa jeshi letu ndio liliwakimbiza m23? Hakuna nchi nyingine?hakuna maombi ya umoja wa mataifa kuziomba nchi fulni ziungane ziwany'anganye silaha? Hivi unajua kua hao m23 inasemekana Kagame alikua anawapa suport kimya kimya ila yeye akawa anakan hizo shutma? Yani mmesha mfanya superstar kwa kumuongelea sanaaa! Its means mnamuogopa sio? Kama jamaa anafanyia nchi yake makubwa ndani myaka 27 tu,sisi tupo tu myaka almost inakua 70 baada ya uhuru ila bado maneno tu!. Mungu kasema;

Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people. Yeye anachapa kazi sisi tunaongea.
 
Back
Top Bottom