The weekend
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 423
- 837
Hiyo ni namna anayotumia kupunguza gharama za uendeshaji jeshini ikiwemo suala la malipo kwa wanajeshiGDP ya nchi haiji kwa kulima mpunga au korosho aiseee! Hizo mission zina ingizia ile nchi kinoma sana,yani ikitokea deal ya kulinda amani Rwanda ndio inakuaga first nominated.ka check ni ya ngapi kua na wanajeshi wengi duniani walinda amani? Iko top 5.
Wathubutu kujichanganya waone motoRwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Tukifunga mipaka na kuwapa ndugu zetu warundi silaha watusaidie.Chigali inanguka in 12hours.Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Kama hujui vitu ni bora ukae kimya.Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Hii haiwezi kuwa geopolitical motive ya Rwanda kuja huku.Rwanda wameenda kufanya practical training msumbiji, nis awa na wanafunzi wa vyuo wanavyoenda field. Hili ni moka ya maslahi
Ila pia ikumbukwe Magenerali wengi wa Rwanda wamepigana vita vya ukombozi wa Msumbiji wakitokea Tanzania wakisaidiana na Frelimo, si jambo la kushangaa Kagame akipeleka jeshi kule sababu yeye mwenyewe kapigania uhuru wa Msumbiji akiwa chini ya General Museveni
We jamaa unaropokaga sana.Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Umeishi au ndio kwenu?Nilishawahi kuishi Rwanda anijua military capability yao.
Asa ww unafananishaje Mfano wa middle east na East Africa????Nyie endelea na ubishi wenu,sijui nani mkali?nani mwenye uwezo? Eti ka nchi kama kariakoo! Tunaweza tukawa millions for nothing ila one or two people wa kafanya mambo makubwa. Mie kazi yangu ni kuwapa updates. Check video hapo chini how smart and professional they are!. Remember how big israel is but midle east wanachakazwa everyday.
View attachment 1884729
View attachment 1884732
Nyie endelea na ubishi wenu,sijui nani mkali?nani mwenye uwezo? Eti ka nchi kama kariakoo! Tunaweza tukawa millions for nothing ila one or two people wa kafanya mambo makubwa. Mie kazi yangu ni kuwapa updates. Check video hapo chini how smart and professional they are!. Remember how big israel is but midle east wanachakazwa everyday.
View attachment 1884729
View attachment 1884732
Polisi ya Tanzania wahanga wao ni Chadema tu hawawezi hao magaidi.Yani kinachokufanya uione Rwanda ya maajabu ni nini. Kupigana na washika majambia na wale wavaa yeboyebo?
Kwani kuna vita kule, we umesikia battle yeyote au confrontation? Rwanda walienda kufukuza magaidi, hawajapigana nao hata. Hii hata Polisi Tanzania wanaweza
Unatumia wendawazimu wa serikali ya Msumbiji na udhaifu wa jeshi lake kuikuza Rwanda. Haina maajabu yeyote ya maana mbele ya Tanzania
Hii stori yako ni propaganda tupu, hakuna wanyarwanda waliopigana Msumbiji hata Kagame hakuwahi kupigana Msumbiji.Rwanda wameenda kufanya practical training msumbiji, nis awa na wanafunzi wa vyuo wanavyoenda field. Hili ni moka ya maslahi
Ila pia ikumbukwe Magenerali wengi wa Rwanda wamepigana vita vya ukombozi wa Msumbiji wakitokea Tanzania wakisaidiana na Frelimo, si jambo la kushangaa Kagame akipeleka jeshi kule sababu yeye mwenyewe kapigania uhuru wa Msumbiji akiwa chini ya General Museveni
Wabongo mashabiki wa Bongofleva wasiojua kitu kuhusu ulinzi huwa wanaamini jeshi lenye kupiga gwaride na kuonekana ovyo ndio imaraTukifunga mipaka na kuwapa ndugu zetu warundi silaha watusaidie.Chigali inanguka in 12hours.
Watanzania mjiandae tukiamua mtaanza kuongea kinyarwanda siku zijazo.We jamaa unaropokaga sana.
Hiyo Tz unayosema imepambana na magaidi hao hao wakiwa kibiti na ikapambana na magaidi hao hao mpakani na msumbiji na Tanzania.
Tanzania imeshiriki mapambano zaidi ya hayo ya hiko kikundi cha watoto km M23 Congo,AFD Congo,kuzima jaribio la mapinduzi Burundi,kuzima jaribio la mapinduzi ushelisheli.
We mnyarwanda Afrika mshariki na kati hakuna jeshi la kushindana na Tanzania.
Nilishawafahamu hawa ndugu zetu#PAKA amefanikisha kueneza propaganda kuwa Wilaya Rwanda ni super power flani hivi.Ni mwendo wa kusifia tu hawana hata open forum kama JF ya kutoa maoni tofauti.Wabongo mashabiki wa Bongofleva wasiojua kitu kuhusu ulinzi huwa wanaamini jeshi lenye kupiga gwaride na kuonekana ovyo ndio imara
Jambo ambalo hawajui ni kuwa hata Marekani haijawahi kuwa na gwaride miaka ya hivi karibuni. Sijawahi ona gwaride la jeshi la Marekani ndani ya hii karne ya 21. Rais wa mwisho wa Marekani kuvaa sare za jeshi nadhani ni Dwight D. Eisenhower miaka ya 1950s. Sasa hawa bodaboda wakiona rais anavaa magwanda directly wanaamini ana jeshi imara, si unaona anapost picha ya Kagame amevaa camouflage uniform
Hahahahahahahahahahahahahahahahah ndugu yani siku Kagame akisema nyo sie twamalizia koo.Watanzania mjiandae tukiamua mtaanza kuongea kinyarwanda siku zijazo.
M23 kule Congo si kilikuwa kikosi chake cha utapeli, mbona makomandoo wa JWTZ kutoka Ngerengere walikisambaratisha chini ya Meja Jenerali Mwakiborwa na Kagame aliufyata,angejibu tungepita naye na kuweka utawala wetu kama Uganda tulivyomuweka Mseveni.Pigeni porojo lakini usiombe ukutane na vijana wa JWTZ kutoka Ngerengere.Nyie endelea na ubishi wenu,sijui nani mkali?nani mwenye uwezo? Eti ka nchi kama kariakoo! Tunaweza tukawa millions for nothing ila one or two people wa kafanya mambo makubwa. Mie kazi yangu ni kuwapa updates. Check video hapo chini how smart and professional they are!. Remember how big israel is but midle east wanachakazwa everyday.
View attachment 1884729
View attachment 1884732