Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

GDP ya nchi haiji kwa kulima mpunga au korosho aiseee! Hizo mission zina ingizia ile nchi kinoma sana,yani ikitokea deal ya kulinda amani Rwanda ndio inakuaga first nominated.ka check ni ya ngapi kua na wanajeshi wengi duniani walinda amani? Iko top 5.
Hiyo ni namna anayotumia kupunguza gharama za uendeshaji jeshini ikiwemo suala la malipo kwa wanajeshi
 
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]
Tukifunga mipaka na kuwapa ndugu zetu warundi silaha watusaidie.Chigali inanguka in 12hours.
 
Wanajeshi wa kiafrika hawanaga afiya, wamekakamaa mackini ya Mungu, shida izi!!!! ukiringanisha na upande wapili ata wakivaa magwanda yao wanatoka verysmart.
 
Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?

Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Kama hujui vitu ni bora ukae kimya.

Tanzania haikuruhusiwa kuingia msubiji,hivyo kilichokuwepo ni kujilinda tu mipakani mwetu ukanda huu.

Kipindi baada ya uchaguzi ndio kipindi pekee Tz ndio ilingia msumbiji na kusambaratisha kambi mbili za hao wajinga na hiyo ilikua ni kisasi baada ya hao magaidi kuingia nchini na kuchoma nyumba za wakazi mpakani.

Hapo ndio walingia huko lakini hawakuruhusiwa,

Pia huwezi kuwasifia rwanda kwa kuwaondoa hao watu,hao watu hawana ardhi na mapigano yao ni ya kushtukiza tu,na ndio maana Tz haikuchukuliwa na SADC kwakua sisi tupo mpakani na tunapaka na bahari hivyo kwa watu wa kushtukiza ni ngumu kujilinda muda wote.ila kuwafikia Rwanda ni ngumu
 
Rwanda wameenda kufanya practical training msumbiji, nis awa na wanafunzi wa vyuo wanavyoenda field. Hili ni moka ya maslahi

Ila pia ikumbukwe Magenerali wengi wa Rwanda wamepigana vita vya ukombozi wa Msumbiji wakitokea Tanzania wakisaidiana na Frelimo, si jambo la kushangaa Kagame akipeleka jeshi kule sababu yeye mwenyewe kapigania uhuru wa Msumbiji akiwa chini ya General Museveni
Hii haiwezi kuwa geopolitical motive ya Rwanda kuja huku.

Ila asante kwa maoni yako yamenifungua kiasi
 
Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?

Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
We jamaa unaropokaga sana.
Hiyo Tz unayosema imepambana na magaidi hao hao wakiwa kibiti na ikapambana na magaidi hao hao mpakani na msumbiji na Tanzania.
Tanzania imeshiriki mapambano zaidi ya hayo ya hiko kikundi cha watoto km M23 Congo,AFD Congo,kuzima jaribio la mapinduzi Burundi,kuzima jaribio la mapinduzi ushelisheli.
We mnyarwanda Afrika mshariki na kati hakuna jeshi la kushindana na Tanzania.
 
Nyie endelea na ubishi wenu,sijui nani mkali?nani mwenye uwezo? Eti ka nchi kama kariakoo! Tunaweza tukawa millions for nothing ila one or two people wa kafanya mambo makubwa. Mie kazi yangu ni kuwapa updates. Check video hapo chini how smart and professional they are!. Remember how big israel is but midle east wanachakazwa everyday.

View attachment 1884729

View attachment 1884732
Asa ww unafananishaje Mfano wa middle east na East Africa????
Kumbuka Middle East waarabu wanazidiwa kwasababu hawajasoma man.
Tofauti na Tz na Rwanda.
Embu itazame Tz na Rwanda kiumakini fananisha Literacy rate,GDP,social and economic development kesha uone utofauti.
Acheni ujinga nyie kufananisha Rwanda na Tanzania.
 
Nyie endelea na ubishi wenu,sijui nani mkali?nani mwenye uwezo? Eti ka nchi kama kariakoo! Tunaweza tukawa millions for nothing ila one or two people wa kafanya mambo makubwa. Mie kazi yangu ni kuwapa updates. Check video hapo chini how smart and professional they are!. Remember how big israel is but midle east wanachakazwa everyday.

View attachment 1884729

View attachment 1884732

Kasome vizuri mkuu

Unajua ni pesa kiasi gani kila mwaka Israel inapewa na USA kama msaada wa kununua silaha?

Unajua ni pesa kiasi gani Misri inapewa kila mwaka na USA kama "hongo" ya kutunza amani yake na Israel?

Unadhani kwanini Morsi utawala wake pamoja na kuwa kidemokrasia haukudumu?

Kwa ufupi usifananishe Rwanda na Israel. Kagame anaendesha nchi kama kambi ya jeshi, kila kitu ni jeshi jeshi tu, ndio maana watu wanaona wana vyombo vya usalama vya maana. Rwanda haina jeshi wala uchumi chochote Tanzania, tena kwa hapa Africa Mashariki size yao ni Burundi; Sio Tanzania, sio Uganda wala Kenya.
 
Yani kinachokufanya uione Rwanda ya maajabu ni nini. Kupigana na washika majambia na wale wavaa yeboyebo?

Kwani kuna vita kule, we umesikia battle yeyote au confrontation? Rwanda walienda kufukuza magaidi, hawajapigana nao hata. Hii hata Polisi Tanzania wanaweza

Unatumia wendawazimu wa serikali ya Msumbiji na udhaifu wa jeshi lake kuikuza Rwanda. Haina maajabu yeyote ya maana mbele ya Tanzania
Polisi ya Tanzania wahanga wao ni Chadema tu hawawezi hao magaidi.
 
Rwanda wameenda kufanya practical training msumbiji, nis awa na wanafunzi wa vyuo wanavyoenda field. Hili ni moka ya maslahi

Ila pia ikumbukwe Magenerali wengi wa Rwanda wamepigana vita vya ukombozi wa Msumbiji wakitokea Tanzania wakisaidiana na Frelimo, si jambo la kushangaa Kagame akipeleka jeshi kule sababu yeye mwenyewe kapigania uhuru wa Msumbiji akiwa chini ya General Museveni
Hii stori yako ni propaganda tupu, hakuna wanyarwanda waliopigana Msumbiji hata Kagame hakuwahi kupigana Msumbiji.

Hata watanzania waliopigana Msumbiji karibu miaka 50 iliyopita wengi wao wameshakufa. Tuwe tunaacha taarifa za redio mbao wakati wa kuleta habari humu.

Hata wakati RPF wanamsaidia Museveni Uganda huyo Kagame muda mwingi alikuwa masomoni Marekani na kuwaacha akina marehemu Fred Rwigyema, Alexis Kanyarangwe na wengineo kumsaidia Museveni.
 
Tukifunga mipaka na kuwapa ndugu zetu warundi silaha watusaidie.Chigali inanguka in 12hours.
Wabongo mashabiki wa Bongofleva wasiojua kitu kuhusu ulinzi huwa wanaamini jeshi lenye kupiga gwaride na kuonekana ovyo ndio imara

Jambo ambalo hawajui ni kuwa hata Marekani haijawahi kuwa na gwaride miaka ya hivi karibuni. Sijawahi ona gwaride la jeshi la Marekani ndani ya hii karne ya 21. Rais wa mwisho wa Marekani kuvaa sare za jeshi nadhani ni Dwight D. Eisenhower miaka ya 1950s. Sasa hawa bodaboda wakiona rais anavaa magwanda directly wanaamini ana jeshi imara, si unaona anapost picha ya Kagame amevaa camouflage uniform
 
We jamaa unaropokaga sana.
Hiyo Tz unayosema imepambana na magaidi hao hao wakiwa kibiti na ikapambana na magaidi hao hao mpakani na msumbiji na Tanzania.
Tanzania imeshiriki mapambano zaidi ya hayo ya hiko kikundi cha watoto km M23 Congo,AFD Congo,kuzima jaribio la mapinduzi Burundi,kuzima jaribio la mapinduzi ushelisheli.
We mnyarwanda Afrika mshariki na kati hakuna jeshi la kushindana na Tanzania.
Watanzania mjiandae tukiamua mtaanza kuongea kinyarwanda siku zijazo.
 
Wabongo mashabiki wa Bongofleva wasiojua kitu kuhusu ulinzi huwa wanaamini jeshi lenye kupiga gwaride na kuonekana ovyo ndio imara

Jambo ambalo hawajui ni kuwa hata Marekani haijawahi kuwa na gwaride miaka ya hivi karibuni. Sijawahi ona gwaride la jeshi la Marekani ndani ya hii karne ya 21. Rais wa mwisho wa Marekani kuvaa sare za jeshi nadhani ni Dwight D. Eisenhower miaka ya 1950s. Sasa hawa bodaboda wakiona rais anavaa magwanda directly wanaamini ana jeshi imara, si unaona anapost picha ya Kagame amevaa camouflage uniform
Nilishawafahamu hawa ndugu zetu#PAKA amefanikisha kueneza propaganda kuwa Wilaya Rwanda ni super power flani hivi.Ni mwendo wa kusifia tu hawana hata open forum kama JF ya kutoa maoni tofauti.
 
M
Nyie endelea na ubishi wenu,sijui nani mkali?nani mwenye uwezo? Eti ka nchi kama kariakoo! Tunaweza tukawa millions for nothing ila one or two people wa kafanya mambo makubwa. Mie kazi yangu ni kuwapa updates. Check video hapo chini how smart and professional they are!. Remember how big israel is but midle east wanachakazwa everyday.

View attachment 1884729

View attachment 1884732
M23 kule Congo si kilikuwa kikosi chake cha utapeli, mbona makomandoo wa JWTZ kutoka Ngerengere walikisambaratisha chini ya Meja Jenerali Mwakiborwa na Kagame aliufyata,angejibu tungepita naye na kuweka utawala wetu kama Uganda tulivyomuweka Mseveni.Pigeni porojo lakini usiombe ukutane na vijana wa JWTZ kutoka Ngerengere.
 
Back
Top Bottom