Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa


Ila wanajeshi wa kiafrika hawana stamina...vimekondeana mpaka mishipa inaonekana.......hongera sana kama wamefanikisha, kwahiyo wazungu mipango yao imekufa!
 
Naskia wajeshi wa rwanda wamechapika, kumbe wanamgambo hawakuisha
 
Naskia wajeshi wa rwanda wamechapika, kumbe wanamgambo hawakuisha
Ngojea kwanza wayaone wanafikiri islamic militia sawa na ethnic militia wa Mashariki ya Congo.Wawaulize wenzao Wakenya , Warundi, Waganda huko Somalia
 
Rwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Wajaze kichwa tu, siku wajichanganye wataona umahiri wa jeshi letu..
 
Safi sana jeshi la Rwanda na Guinea,uku kwetu jeshi la tozo limenyoosha mikono
 
Umeandika kama taahira ndugu yangu, Tz haiwezi kuchokozana na kata kama ya vingunguti, huko ni kujidhalilisha
Bro ukubwa wa nchi haupimwi kwa nguvu ya kijeshi, kama ukubwa wa nchi unapimwa kwa nguvu ya kijeshi basi nendeni mkaiambie jwtz ikavamie Israel yenye watu kama million 9,kwa logic nyepes muone vile mtakapo chapika, kama kigezo ni ukubwa wa nchi ndio uwezo wa kijeshi bas uingereza isingetawara dunia, kama ukubwa wa nchi ni kigezo cha uimara kijeshi bas China ingeivamia haraka zaid Taiwan....watanzania Tunaishi kwa hisia ndio maana tunaonekana wendawazimu na ovyo kifikra
 
Kwenye hili la uzalendo tuko pamoja hawa watu wakijaribu kuweka pua Tanzania ni kwamba rwanda itakuwa mkoa mpya wa Tanzania
Jifariji kwa jeshi lenu hata top 10 haripo katika ubora wa Africa ,lilingane na nyinyi ambao mnavifaa duni vya kijeshi, intellegencia mbovu,
 
Mbona haisaidii Palestina wakati watu billion mbili wote wakimuomba kwa bidii na mashindano aingamize Israeli?
Acha kuleta itikadi ya dini, na heshimu imani ya mtu, maana imani yako tu umeishindwa kuifata lakin bado unaleta chokochoko kwenye imani za watu, hii ndio shida kwa ngozi nyeusi, kutawala dunia hadi Mungu arudi...
 
Back
Top Bottom